Mkuu Burundi ni wazoefu wa vita?Hebu tuwekee hapa vita ambavyo Burundi chini ya Nkurunziza imepigana ikavishinda?
Drc wana uzoefu wa vita?aisee hapo ndio haupo serious wale ni mdebwedo hawajawahi kua na ujasiri wa kupigana zaidi ya kujua kukata mauno(ndomboroo) na kuja kusuka dada zetu huku dar ila kwny vita hamna kitu hapo.Afu kusema Rwanda inawavuruga Congo si kweli ila Congo wao ndio walianza kuwachokoza Rwanda kwa kuwapokea waliofanya Genocide miaka ile na kuwaruhusu waanzishe training camps ndani ya Congo,na kilicjofuata ndio mpk leo hawakai kwa amani.
Uganda wao huyo PK anawajua mpk chumbani kwao,huyo PK si ndio former CMI wa Uganda sio?Unajua kwanini IGP wa Uganda alifukuzwa kazi na kesi juu mahakamani?