Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Shirikisho la Jamhuri ya Watu wa Tanzaburua (Muungano wa Tanzania na Burundi). Hili ndilo suluhisho la matatizo ya kwenye maziwa makuu hasa kati ya Rwanda na Burundi
Unajua kabla ya Vita ya kwanza ya Dunia hawa jamaa tulikuwa nao pamoja , Mjerumani kushindwa ndio tukagawanywa gawanywa.Prof Mazrui aliwahi kutoa ushauri huo kabla hawa jamaa kuwa kwenye EAC.
 
Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Rwanda wapo vizuri sana kwenye vita., siyo rahisi kutwaa hata km moja yao, patachimbika kweli kweli
 
Tusisahau kuwa bado kuna damu mbaya kati ya Burundi na Ruanda hasa ikitiliwa maanani kuwa majeshi ya Watusi RPF yaliitungua ndege ya kiraia na kumuua rais wa Burundi
 
Rwanda wapo vizuri sana kwenye vita., siyo rahisi kutwaa hata km moja yao, patachimbika kweli kweli
Hili sikubaliani nalo. Burundi wakiweka uzalendo mbele kupigania nchi yao, jeshi la Burundi pamoja na Waasi wa Nterahamwe (kama sijakosea) walioko mapori ya Congo ni wazoefu wa ambushi/vita kuliko unavyodhani. Hakuna jinsi Kigali itapona.
 
Faza ni nani kama sio Tanzania
 
Duuh ,jamaa umetisha na vipi ant tank Burundi walitaka kununua kwa Putin wameshanunua au waligaili?
 
Duuh ,jamaa umetisha na vipi ant tank Burundi walitaka kununua kwa Putin wameshanunua au waligaili?
walinunua alafu za kisasa zaidi

alafu wana ant tank aina zaid ya kumi

jina lake nimelisahau japo inasemekana zina akili sana na zinapiga long target kwa ufasaha zaid
 
Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Baada kuichukua ZANZIBAR uchu Wa kuendelea kutawala bado mnao msifikir kwa hao wengine mnaweza kuyafanya makoloni yenu km mlivyofanya kwa ZANZIBAR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…