Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Shirikisho la Jamhuri ya Watu wa Tanzaburua (Muungano wa Tanzania na Burundi). Hili ndilo suluhisho la matatizo ya kwenye maziwa makuu hasa kati ya Rwanda na Burundi
Unajua kabla ya Vita ya kwanza ya Dunia hawa jamaa tulikuwa nao pamoja , Mjerumani kushindwa ndio tukagawanywa gawanywa.Prof Mazrui aliwahi kutoa ushauri huo kabla hawa jamaa kuwa kwenye EAC.
 
Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Rwanda wapo vizuri sana kwenye vita., siyo rahisi kutwaa hata km moja yao, patachimbika kweli kweli
 
Tusisahau kuwa bado kuna damu mbaya kati ya Burundi na Ruanda hasa ikitiliwa maanani kuwa majeshi ya Watusi RPF yaliitungua ndege ya kiraia na kumuua rais wa Burundi
 
Rwanda wapo vizuri sana kwenye vita., siyo rahisi kutwaa hata km moja yao, patachimbika kweli kweli
Hili sikubaliani nalo. Burundi wakiweka uzalendo mbele kupigania nchi yao, jeshi la Burundi pamoja na Waasi wa Nterahamwe (kama sijakosea) walioko mapori ya Congo ni wazoefu wa ambushi/vita kuliko unavyodhani. Hakuna jinsi Kigali itapona.
 
Naigonja kwa hamu saana hii vita

uchumi wa rwanda na burundi ni sawa ila rwanda wanajenga kigali burundi wenyewe wanajenga nchi nzima

rwanda anaeonekana bora mizinga yake mipya ni BM-21 ambayo kwa tanzania ilikuwepo toka miaka ya 70 mizinga ya burundi ni BM-45 ni bora zaidi kuliko ya slim

wote airforce zao ni hovyo bt rwanda anakaunafuu kidogo

Burundi wana ant tank nzuri zaidi kuliko rwanda lkn rwanda wana vifaru vzr zaidi ya burundi

uhusiano wa jw na burundi upo kama baba na mwana nakumbuka 2014 burundi waliingiza jet zao ziliingia kilometa nyingi kwenye anga la tz lkn hazikutunguliwa japo zilizua taharuki kias chake

vita hii inaweza kugeuka nakuwa ya ukabila na kama itatokea hivyo kuna jamii itakiona cha moto coz ukimuona tu unamjua wala hauangaiki kumtafuta

ili hii vita ipigane lzm FAZA wa ukanda huu atoe ruksa kwa pande zote mbili coz yeye ndio mwenye uwezo wa kuamua mshindi

kazi ni kwao
Faza ni nani kama sio Tanzania
 
Duuh ,jamaa umetisha na vipi ant tank Burundi walitaka kununua kwa Putin wameshanunua au waligaili?
 
walinunua alafu za kisasa zaidi

alafu wana ant tank aina zaid ya kumi

jina lake nimelisahau japo inasemekana zina akili sana na zinapiga long target kwa ufasaha zaid
 
Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Baada kuichukua ZANZIBAR uchu Wa kuendelea kutawala bado mnao msifikir kwa hao wengine mnaweza kuyafanya makoloni yenu km mlivyofanya kwa ZANZIBAR.
 
Back
Top Bottom