Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Siasa zinabadilika sana mkuu, chini ya utawala wa JPM, Tanzania ni rafiki mkubwa wa Rwanda kuliko Burundi
Mkuu, kwa nje ndivyo inavyoonekana lakini sivyo ilivyo! Uhusiano na Rwanda upo kwa tahadhari kubwa. Kuna mambo JPM anaendelea kumsoma taratibu rafiki yake huyo (PK). Ameshaanza kujua kwamba jirani ni mtu mnafiki na mwenye hila.
Time will tell!
 
Mkuu, kwa nje ndivyo inavyoonekana lakini sivyo ilivyo! Uhusiano na Rwanda upo kwa tahadhari kubwa. Kuna mambo JPM anaendelea kumsoma taratibu rafiki yake huyo (PK). Ameshaanza kujua kwamba jirani ni mtu mnafiki na mwenye hila.
Time will tell!
Ndgu hakuna jirani mnafik kama paka a.k. a mr slim kama aliwahi kusema anajua hadi rangi mashuka anayolalia Mh JK magogoni kipindi kile anatuulia vijana kule Congo DRC ,na JPM anajua unafiki wa slim, kama ni mrafiki awatoe askari wetu Kyle drc waliopelekwa na Jk kipindi l'île kumwadhibu paka
 
time za jk kitendo cha askari 14 kuuwawa nadhan now ADF wangekuwa wanawajibika kwa kitendo hicho
 
Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
wazee walisema ( dume mkubwa hupigwa na dume mdogo ki mzaha)
usiibeze Burundi vita haina mwenyewe
 
Mi nasubiri mercenary recruitment kipigana na Kagame. Nishaanza mazoezi mdogomdogo
 
Based on Vifaa, Uzoefu, ujuzi na Uzalendo
wazee walisema ( dume mkubwa hupigwa na dume mdogo ki mzaha)
usiibeze Burundi vita haina mwenyewe
Burundi watapata tabu sana.
 
Burundi?

Hahah nchi haina wajeshi hio ila ina ka-kundi ka wahuni wahuni wenye silaha tu.
 
Wakipigana iyo vita Itakuwa na madhara kwa upande wetu sisi watz wakimbizi watakuwa wengi sana nchini kwetu na hata usalama na vitendo vya kiuhalifu vitaongezeka sana katika mikoa ya jirani
 
Hahaha aiseee
 
Kichaa yupi huyo aliyepakatwa miguuni kwa Kagame ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…