Hahah mkuu kuna FDLR ila hao kwa sasa ni choka mbovu,kuna wengine wanaitwa MRCD,NLF,kuna RNC ya yule mkuu wa majeshi wa zamani wa Rwanda nayo inajipanga kufanya mambo.Mkuu vipi wale wanaompinga slim shade hao ndo nawataka sana...
Okok, mkuu asante kwa updates ntawafatilia zaidi wale watakaoibuka. Mpaka March nitajua which is which there should be valor men to contain slim shade He is psychoHahah mkuu kuna FDLR ila hao kwa sasa ni choka mbovu,kuna wengine wanaitwa MRCD,NLF,kuna RNC ya yule mkuu wa majeshi wa zamani wa Rwanda nayo inajipanga kufanya mambo.
Lkn shida mpk hapo hakuna kundi la waasi strong saaaana, yanakuja na upepo na kupotea.
RNC ndio la kayumba?Hahah mkuu kuna FDLR ila hao kwa sasa ni choka mbovu,kuna wengine wanaitwa MRCD,NLF,kuna RNC ya yule mkuu wa majeshi wa zamani wa Rwanda nayo inajipanga kufanya mambo.
Lkn shida mpk hapo hakuna kundi la waasi strong saaaana, yanakuja na upepo na kupotea.
Kutokea Kagera,ukimaanisha waasi/mercenaries wa kutokea ndani ya nchi(Tanzania) sio?Mi nataka ya hapa jirani jirani ni rahisi kuchepuka in and out hasa mashambulizi yakianzia maeneo ya upande wa pili wa Rusumo kutokea Kagera
Hamna noma mkuu cheki hao RNC naona atleast wana ka-uafadhali kwny hao waasi.Okok, mkuu asante kwa updates ntawafatilia zaidi wale watakaoibuka. Mpaka March nitajua which is which there should be valor men to contain slim shade He is psycho
Hamna noma mkuu cheki hao RNC naona atleast wana ka-uafadhali kwny hao waasi.
Yes ndio la Nyamwasa hilo,walikua wana organise watu from Uganda/Burundi then wanaingia Congo kupiga Tizi so nahisi labda huko Congo ndio HQ yao.RNC ndio la kayumba?
makao yao makuu yapo wap?
kayumba ndie aliekoswa na risasi akasaidiwa kutoroka na tz?Yes ndio la Nyamwasa hilo,walikua wana organise watu from Uganda/Burundi then wanaingia Congo kupiga Tizi so nahisi labda huko Congo ndio HQ yao.
Sure Kayumba alitoroka from Rwanda to Uganda then akasaidiwa na Uganda kutorokea SA.kayumba ndie aliekoswa na risasi akasaidiwa kutoroka na tz?
now kayumba yupo wap?
wameanza mda gan kujikusanya?
maana kwangu hii ni habari njema sana kama kayumba ana nguvu
Alishapigwa mikwara juzi hapo M7 akampa dinner mwenyewe PKM7 anampigia salute PK? Acha utani wako
Basi kayumba ni mjinga anataguta sapoti ya watusi aliyakuwa wahutu wapo wengi tu ni slum dwellersSure Kayumba alitoroka from Rwanda to Uganda then akasaidiwa na Uganda kutorokea SA.
Nadhani wana muda kidogo wana jiorganise though wanalalamika humo wanapokusanya watu wamejikuta wamepandikizwa ma-spy wengi sana wa PK.
Kayumba makazi yake ni SA huko alikopigwa risasi.
Shida Kayumba hapati Support ya watusi wenzake,90% ya watusi kwao PK ndie mkombozi wao na sijui itachukua miaka mingapi kuwaaminisha tofauti na hapo,Kundi linamsapoti Nyamwasa ni la watusi baadhi waliogombana na PK huko Jeshini/serikalini.
Acha kabisa kuzungumza kwa hisia na mazoea nakwambia tena acha kabisa...Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
silaha zinafishwa kila saaAcha kabisa kuzungumza kwa hisia na mazoea nakwambia tena acha kabisa...
Sihala zinasafishwa kila saa[emoji34]
Wewe kabila awe pandikizi la slim hauko serious mkuujw wapo drc wanapata faida gan?
acheni slim acheze ligi moja na ubeligiji
jw wanaangaika kumlinda kabila pandikiz la slim
Ogopa sana maneno tena sentensi fupi fupi...silaha zinafishwa kila saa
hyo kauli inaonekana kama vile burundi wamevumilia sasa wamechoka now ni liwalo na liwe
kumbe hujui mkuu?W
Wewe kabila awe pandikizi la slim hauko serious mkuu
Mtoto alelewe msasani akipikwa na wazee wa upangakumbe hujui mkuu?
Na hawezi ipata hio support ya watusi maana wao watamuuliza kwani PK amewafanya nini watusi mpk wamgeuke.Anyway sijui kuibadili hio mentality itachukua miaka mingapi.Basi kayumba ni mjinga anataguta sapoti ya watusi aliyakuwa wahutu wapo wengi tu ni slum dwellers
alafu mbona pk mwepesi tu bt kamejazia titi kimtindo
najua anaback up ya south kiasi fran lkn anaonekana kama vile hana nia coz najua jeshin bado anawatu waamifu kwake
namuonea huruma saana slim maana bongo hamumtakiOgopa sana maneno tena sentensi fupi fupi...
Jamaa wamevumilia sana wamejifanya wajinga kwa muda mrefu...
Wao hawafanyi mazoezi kama wenzao kuwatisha ila silaha zinasafishwa kila saa wapi sijui wanasafishia wapi...
Ukiona hivo ujue wamejipanga wapo vizuri tena vizuri kweli kweli...
Mungu awe pamoja na burundi.