Tetesi: Hali ya hatari kati ya Burundi vs Rwanda

Mkuu vipi wale wanaompinga slim shade hao ndo nawataka sana...
Hahah mkuu kuna FDLR ila hao kwa sasa ni choka mbovu,kuna wengine wanaitwa MRCD,NLF,kuna RNC ya yule mkuu wa majeshi wa zamani wa Rwanda nayo inajipanga kufanya mambo.

Lkn shida mpk hapo hakuna kundi la waasi strong saaaana, yanakuja na upepo na kupotea.
 
Okok, mkuu asante kwa updates ntawafatilia zaidi wale watakaoibuka. Mpaka March nitajua which is which there should be valor men to contain slim shade He is psycho
 
RNC ndio la kayumba?

makao yao makuu yapo wap?
 
Okok, mkuu asante kwa updates ntawafatilia zaidi wale watakaoibuka. Mpaka March nitajua which is which there should be valor men to contain slim shade He is psycho
Hamna noma mkuu cheki hao RNC naona atleast wana ka-uafadhali kwny hao waasi.
 
Yes ndio la Nyamwasa hilo,walikua wana organise watu from Uganda/Burundi then wanaingia Congo kupiga Tizi so nahisi labda huko Congo ndio HQ yao.
kayumba ndie aliekoswa na risasi akasaidiwa kutoroka na tz?

now kayumba yupo wap?

wameanza mda gan kujikusanya?

maana kwangu hii ni habari njema sana kama kayumba ana nguvu
 
Sure Kayumba alitoroka from Rwanda to Uganda then akasaidiwa na Uganda kutorokea SA.

Nadhani wana muda kidogo wana jiorganise though wanalalamika humo wanapokusanya watu wamejikuta wamepandikizwa ma-spy wengi sana wa PK.

Kayumba makazi yake ni SA huko alikopigwa risasi.

Shida Kayumba hapati Support ya watusi wenzake,90% ya watusi kwao PK ndie mkombozi wao na sijui itachukua miaka mingapi kuwaaminisha tofauti na hapo,Kundi linamsapoti Nyamwasa ni la watusi baadhi waliogombana na PK huko Jeshini/serikalini.
 
Basi kayumba ni mjinga anataguta sapoti ya watusi aliyakuwa wahutu wapo wengi tu ni slum dwellers

alafu mbona pk mwepesi tu bt kamejazia titi kimtindo

najua anaback up ya south kiasi fran lkn anaonekana kama vile hana nia coz najua jeshin bado anawatu waamifu kwake
 
Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Acha kabisa kuzungumza kwa hisia na mazoea nakwambia tena acha kabisa...

Sihala zinasafishwa kila saa😠
 
silaha zinafishwa kila saa

hyo kauli inaonekana kama vile burundi wamevumilia sasa wamechoka now ni liwalo na liwe
Ogopa sana maneno tena sentensi fupi fupi...

Jamaa wamevumilia sana wamejifanya wajinga kwa muda mrefu...

Wao hawafanyi mazoezi kama wenzao kuwatisha ila silaha zinasafishwa kila saa wapi sijui wanasafishia wapi...

Ukiona hivo ujue wamejipanga wapo vizuri tena vizuri kweli kweli...

Mungu awe pamoja na burundi.
 
Basi kayumba ni mjinga anataguta sapoti ya watusi aliyakuwa wahutu wapo wengi tu ni slum dwellers

alafu mbona pk mwepesi tu bt kamejazia titi kimtindo

najua anaback up ya south kiasi fran lkn anaonekana kama vile hana nia coz najua jeshin bado anawatu waamifu kwake
Na hawezi ipata hio support ya watusi maana wao watamuuliza kwani PK amewafanya nini watusi mpk wamgeuke.Anyway sijui kuibadili hio mentality itachukua miaka mingapi.

You can't teach an old dog new tricks hio ndio inayomkuta Kayumba simuoni akiwa na future yoyote ya kuikamata Rwanda.
 
Ogopa sana maneno tena sentensi fupi fupi...

Jamaa wamevumilia sana wamejifanya wajinga kwa muda mrefu...

Wao hawafanyi mazoezi kama wenzao kuwatisha ila silaha zinasafishwa kila saa wapi sijui wanasafishia wapi...

Ukiona hivo ujue wamejipanga wapo vizuri tena vizuri kweli kweli...

Mungu awe pamoja na burundi.
namuonea huruma saana slim maana bongo hamumtaki

south wanamlia taiming

kongo hawana la kumfanya

uganda hasomeki

kenya ni pesa mbele
 
Back
Top Bottom