mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah mkuu kuna FDLR ila hao kwa sasa ni choka mbovu,kuna wengine wanaitwa MRCD,NLF,kuna RNC ya yule mkuu wa majeshi wa zamani wa Rwanda nayo inajipanga kufanya mambo.Mkuu vipi wale wanaompinga slim shade hao ndo nawataka sana...
Lkn shida mpk hapo hakuna kundi la waasi strong saaaana, yanakuja na upepo na kupotea.