Hali ya hewa leo Dar

Uko vizuri kwenye hiyo sekta mkuu😀😀
 
Mamamaeeehhh😅😅😅😅Kitu mdudu nimemtandika nusu mchana na plizina zangu 7 bariidii,,,nimetulia zangu tym hii na kula zangu bangi drai taratiibu huku naperuzi peruzi jamii ya wana forum!!!
Stress for who stress for what enjoy maishaa aisee
 
Nipe to location ya ulipo nije tuangalie wote hiyo citadel,Japo sidhani kama utakua

hujaimaliza,ka series gani kafupi kama Mkojo wa mtoto,Ntakuja na nyingine nzuri nzuri

ya kuitwa FROM nakuja nazo zote mbili tuzianze wote,Hali ya hewa hii sio ya kuangalia series

Tamu (fupi) unatakiwa upate kigongo halafu kirefu refu mpka kiishe na Muda wa kusema Good Night umefika.
 
Wadada hali ya hewa kama hiii wanajitiaga vikomando kumbe vinaipata pata

dawa ni unakaa nacho pembeni mnaangalia movie na hamna kukagusa,tuone atanibaka!
 
Ukimaliza kuna series ya "Unyabumbu" sema tu nikuletee ni kali kinoma hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…