financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Uko vizuri kwenye hiyo sekta mkuu😀😀Hajaoa bhana wimbo wa taifa, kabla sijakuwa mtoa assist nilijiridhisha kwa kuongea na majirani kwanza kumsoma tabia yake mpaka ka wazazi kule Matombo ili nisije nikakuweka katika mikono ambayo utateseka. Hapo umefika yaani ni sawa na Ile kujisemea moyoni "NOW I FIND THE RIGHTONE"😊😊