TB Joshua alikuwa ni nabii wa uongo aliyepoteza roho ya watu wengi kuzimu.2016 TB Joshua jengo lake la wageni lili collapse na kutafuna waumini zaidi ya mia walipoteza maisha
Shida na matatizo mengi ya watu ni matokeo ya wengi kukaa mbali na maarifa, maarifa yanapatikana kupitia kujifunza mafundisho, au masomo mbalimbali ambayo kwa ulimwengu wa SAsa internet imekuletea elimu nyumbani.kitanda usichokilalia huwezijua kunguni wake. Kifupi ni kuwa watu wana shida nyingi sana na zimekosa utatuzi kabisa.
Mtu yupo tayari kufanya chochote ili mradi apate nafuu. Kuna siku nilikuwa mwanza , mkutano wa Mwamposa alitarajiwa kesho yake saa 10 jioni, lakini watu ( wateja wa maji na mafuta) walishaanza kujikusanya na kulala eneo la tukio-viwanja vya furahisha.
Na mkutano ukiisha huyu jamaa anakuwa wa kwanza kuondoka eneo la tukio tena kwa escort na kuwaacha wateja wake wakilala hapo uwanjani.
It is not fair.
Akumbuke Yesu alilisha wafuasi wake.
Yeye anashindwa vipi kuwapa huduma bora waumini (wateja)wake.
CorrectKwa mkwanja anaoingiza angeweza kuongea na serikali akaboresha tu ili wateja wakae mazingira rafiki
HOSTEL sio HOTEL.Unadhani kupata kiwanja cha kujenga hotel Kawe ni rahisi kama Mbalizi?
Mimi najitolea upokeaji sadaka (muweka hazina).Hivi JF hatuwezi kufungua Kanisa?
Mimi nitakua nahesabu sadaka na kufanya sorting. Nimewahi tayari. Mchungaji ni Bujibuji Simba NyamaumeMimi najitolea upokeaji sadaka (muweka hazina).
Na mimi nazungumzia kiwanja, bila kujali itajengwa Hotel au Hostel. Kupata kiwanja Kawe cha ukubwa ule si rahisi kama kupata kiwanja cha hivyo MbaliziHOSTEL sio HOTEL.
Kwani bila ya kuhubiri Kawe mahubiri yake hayafanyiki? Hata akienda Chanika wanaomuamini watamfuata tu, ikiwa watu wanatoka Kigoma kuja hapo Kawe.
Jamaa yangu hebu acha ubishi kwa hoja nyepesi basi ili mradi tu uonekane unabisha.
Tukiacha utani, makanisa yamekuwa mradi mkubwa sana. Kuna jamaa namjua kabisa kuwa ni muislamu pure na familia yake yote waislam.Mimi nitakua nahesabu sadaka na kufanya sorting. Nimewahi tayari. Mchungaji ni Bujibuji Simba Nyamaume
We kiumbe kwani hawezi kuhubiri kwingine sharti iwe Kawe?Na mimi nazungumzia kiwanja, bila kujali itajengwa Hotel au Hostel. Kupata kiwanja Kawe cha ukubwa ule si rahisi kama kupata kiwanja cha hivyo Mbalizi
Ngoja ni mtag mwanangu GENTAMYCINE
Ila kwa kujazia tu hapo,hapo kwake kuna mental case nyingi sana
Ova
Hivi unadhani kwa nini pamoja na kukumbwa na mafuriko, watu waliopo kando ya bonde pale Jangwani hawataki kuhama? Sababu ni hiyo hiyo. Mwamposa atacheza Kawe, Mwenge, Makumbusho na maeneo ya karibu na hapo. Kuna suala la wateja na wateja muhimu. Chanika hatapata wateja muhimuwe kiumbe kwani hawezi kuhubiri kwingine sharti iwe Kawe?
Ila Mwamposa anazingua. Kuliko kujenga hotel Mbeya kwanini asingeanza kujenga hostels kwa ajili ya waumini wake kwanza.
Naamini angefanya hivyo angevuna pesa zaidi za kuweza kujenga mahoteli mengi zaidi.
Inabidi ajifunze kuthamini malighafi yake (waumini) ili kuendelea kuvuna zaidi (sadaka).
Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson. Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii...www.jamiiforums.com
Kwani kwenye uislamu hakuna huu ushaitwani!!? Kuna watu wanaua wenzao eti kisa uende peponi kurithi mabikira 72,ni moja ya ujinga wa hizi dini!!Sasa ndio nimejua chimbuko la maoni yako kwamba; "Samaki mmoja akioza pezi basi wote watakuwa wameoza".