Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

Hii thread mtoa mada angeifungua kipindi cha covid angekua sahihi kabisa
Ila kwa sasa hivi amebugi Big timeπŸ˜€
Bad News kwa wasioipenda kaskazini awamu hii inasapoti utalii vibaya mno
Sio makosa yetu kuwekewa mlima mrefu zaidi Africa pale Kilimanjaro sio makosa yetu kuwekewa mlima meru, ngorongoro etc
Ni wivu tu πŸ˜€

View: https://www.instagram.com/reel/C3R7E3_N1G4/?igsh=MXF2cjE1YzJ2bHZlaA==
 
Kanda ya Kaskazini ipo mbali sana hata pato la mtu mmoja mmoja kwa mikoa yote ya kanda hiyo lipo juu. Pamoja na kanda ya Nyanda za juu kusini.
 
Kanda ya Kaskazini ipo mbali sana hata pato la mtu mmoja mmoja kwa mikoa yote ya kanda hiyo lipo juu. Pamoja na kanda ya Nyanda za juu kusini.
Wewe huonagi watu walioko bize kushindanisha miji huku mitandaoni ni wa kanda ya ziwa πŸ˜€ hao ndio hawanaga kazi ya kufanya kama mtoaa mada jinga mmoja anasema eti arusha wanauziana kwa ukabila hawana exposure hawa watu hawatembei kazi kuzaliana tuπŸ˜… na ndio maana wanawivu sana na watu wa kaskazini kwa vile wameenda kwenye miji yao na kudominate, huwezi kuona mtu wa kaskazini anamuundermine mtu wa kanda ya ziwa kwa vile kumshusha mwenzako ni sign ya inferiority bila kujua the more wanatuzalilisha ndio the more wanatupaisha ndio maana wanakwambia adui yako mpende.
NB: Hawa watu wa kanda ya ziwa ndio wanaongoza kuchinjana kama kuku, ndio watu waliojaa imani za kishirikina, kuua wazee wasio na hatia, kuabudu chatu, kuua albino lakini huwezi kuta tunawaongelea
Kanda nzima ile mkoa ukiostaarabika kagera peke yake
 
Wengi hawana exposure, wana inferiority complex, bado elimu haija wakomboa na wana post traumatic stress disorders ya kilicho tokea miaka 3 iliyopita, healing ipo Pole Pole itawachukua muda mrefu kupona.
 
Ni kweli usemayo. Ujio wa kundi la wadudu Arusha ni uthibitisho tosha kwamba Arusha inaelekea kuwa kijiji kikubwa kama ilivyo miji yetu ya kitanzania. Inashangaza sana ni vigezo vipi vinaifanya Arusha kuwa makao makuu ya EAC.

Wiki mbili zilizopita nilitembelea tena Arusha baada ya miaka mitano kupita bila kukanyaga mji ule. Arusha badala ya kung'ara, inafifia. Arusha inarudi nyuma na wenyeji wanakiri kuwa kuna upigaji wa kufa mtu. Majengo ni yale yale chakavu, barabara nyingi zimejengwa chini ya kiwango. Arusha inasikitisha.😒
 
Ukiwaambia ukweli wanasema tuna chuki ilihali hali ya wafanyabiashara kwa mkoa wa arusha ni ngumu sana. Asilimia kubwa ya mapato ya arusha yanategemea utalii. Hiyo pesa ya utalii wala haiingii kwenye mzunguko wa huko town wa kila siku. Unaeza fanya biashara arusha miaka 2 na mtaji wa 100ml na usitoboe ila kwa huo mtaji nenda mbeya, kahama au dar au mbeya na hata morogoro uone utakavyotoboa.
 
Mh uzr unazugumza kuiponda Arusha mkuu
uzr unazungumzia hyo mji Arusha mm nilikaa kama miez 6 mkuu syo hyo Arusha hyo unasema tukikuwa tukitoka sait msos 1500 kwa mam ntilie n ugali mboga na vdagaa na punje tatu ya maharagwe hapo n kwa mamntilie ambayo anacho kbanda kuku mbich tu wa broila n 8000 na msos w unasema chakula ya kuku 1000 ujawai fka Arusha msos n garama sana mitaa yao n mikubwa sana Picha inapgwa sehem chache lakn ikipgwa vzr ndyo utaiyona Arusha ili Ivo kubwa alaf aina mchanganyiko ya wilaya zngne n Arusha city kuna mitaa inaitwa bonste ukiambiwa utembee kwa miguu uwez maliza baiskel enyew umali we tembelea alaf uone usiambiwe
 
Unatumia kigezo gani kupima maendeleo yake. Au unaongea tu.
 
Wewe uwezo wako wa kutazama mambo upo finyu sana. Unatazama mambo kwa angle moja tuu. Baada ya Dar es Salaam inafuata Arusha kwa biashara na mnyororo wa thamani.
 
Hiyo ni inflated price mkuu. Maeneo mengi arusha hata mama ntilie wanalalama kumaliza kilo 3 ya mchele ni shida.
Kwa hiyo bei yako ya sahani moja 8000, ni zile restaurant kubwa kubwa ambako waendaji wake ni wachache. Hata maeneo kama cafe laziz, ngiwaranecha hawauzi hiyo bei.
 
Ni kweli mkuuArusha sio rahisi kupata msosi wa 1000 ni rahisi kuishi Dar kuliko Arusha. Arusha ni jiji la kitalii linapokea wageni wengi.
 
Wewe uwezo wako wa kutazama mambo upo finyu sana. Unatazama mambo kwa angle moja tuu. Baada ya Dar es Salaam inafuata Arusha kwa biashara na mnyororo wa thamani.
Bila shaka wewe utakuwa muajiriwa na sio mfanyabiashara. Jaribu kuzunguka makao mapya, uende mpaka kilombero na kupita soko kuu mwisho malizia mjini kati uone hali za wafanyabiashara wanatia huruma sana.
 
Sasa wewe ulikula maeneo ya uswahili mbona hata Manzese na Buguruni Dar unapata wali wa 1000. Wewe si unapenda vitu vya cheap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…