Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

Sasa wewe ulikula maeneo ya uswahili mbona hata Manzese na Buguruni Dar unapata wali wa 1000. Wewe si unapenda vitu vya cheap.
Ila maeneo mengi arusha ni uswahilini kuanzia oysterbay mbauda sombetini, iliboru, matejoo, ungalimited, mianzini, sanawari ya juu mpaka huko enaboishu. Hata hiyo sakina nayo imechoka sana ni kama ghost city vile.
 
Ni kweli usemayo. Ujio wa kundi la wadudu Arusha ni uthibitisho tosha kwamba Arusha inaelekea kuwa kijiji kikubwa kama ilivyo miji yetu ya kitanzania. Inashangaza sana ni vigezo vipi vinaifanya Arusha kuwa makao makuu ya EAC.

Wiki mbili zilizopita nilitembelea tena Arusha baada ya miaka mitano kupita bila kukanyaga mji ule. Arusha badala ya kung'ara, inafifia. Arusha inarudi nyuma na wenyeji wanakiri kuwa kuna upigaji wa kufa mtu. Majengo ni yale yale chakavu, barabara nyingi zimejengwa chini ya kiwango. Arusha inasikitisha.😢
Labda ni kwavile ndio kati kati ya Afrika, si unajua tena mtu mweusi anaheshimu sana kitovu
 
Ila maeneo mengi arusha ni uswahilini kuanzia oysterbay mbauda sombetini, iliboru, matejoo, ungalimited, mianzini, sanawari ya juu mpaka huko enaboishu. Hata hiyo sakina nayo imechoka sana ni kama ghost city vile.
Sio kweli
 
Mtoa mada kaongea mambo mengi ya uongo sana.. mpk nimeogopa.

Huu Mji ni mzuri na kuna hela vibaya mno..

Na watu wanazitumia vilivyo....

Sehemu za kula STAREHE ni nyingi.. ni wewe tu..

Vitu bei ghali sana hasa Furniture ukienda bila gadi wanakupiga bei ya juu mno.

Chakula bei kawaida... hayo maswala ya wali kuku kwa 1k ni uongo wa karne.

Huu Mji na speed ya Makonda patakuwa hotcake sana..

Kwanza ARDHI tu kuinunua huku ujipange, bei ya gari pia huku zipo juu.. gari ya 6m Dar huku watakupiga 12m..

Changamoto ni Usafiri wao wa Mjini vipanya vya kuondoa.
 
Uliposema makao mapya kodi ya nyumba ya vyumba vitatu 150,000 nimeacha kuuzingatia huu uzi Mkuu.
Ndiyo mitaa ya premier palace kuja hadi huku mitaa ya cafe laaziz na uelekeo wa kwenda florida round about nyumba nyingi unapata kwa 150k. Huko njiro kwenyewe saivi tena ppf unapata self contained kwa 300k kwa mwezi. Itakuwa umejenga ndio maana hata bei ya nyumba za kupanga hapo arusha kwa sasa huzifahamu
 
Mtoa mada kaongea mambo mengi ya uongo sana.. mpk nimeogopa.

Huu Mji ni mzuri na kuna hela vibaya mno..

Na watu wanazitumia vilivyo....

Sehemu za kula STAREHE ni nyingi.. ni wewe tu..

Vitu bei ghali sana hasa Furniture ukienda bila gadi wanakupiga bei ya juu mno.

Chakula bei kawaida... hayo maswala ya wali kuku kwa 1k ni uongo wa karne.

Huu Mji na speed ya Makonda patakuwa hotcake sana..

Kwanza ARDHI tu kuinunua huku ujipange, bei ya gari pia huku zipo juu.. gari ya 6m Dar huku watakupiga 12m..

Changamoto ni Usafiri wao wa Mjini vipanya vya kuondoa.
kabisa Mkuu, mleta uzi aombe code za utalii na hela ya huu mji asaidiwe sio tusema mbaya na lawama.
 
Ndiyo mitaa ya premier palace kuja hadi huku mitaa ya cafe laaziz na uelekeo wa kwenda florida round about nyumba nyingi unapata kwa 150k. Huko njiro kwenyewe saivi tena ppf unapata self contained kwa 300k kwa mwezi. Itakuwa umejenga ndio maana hata bei ya nyumba za kupanga hapo arusha kwa sasa huzifahamu
Tuache ubishi, kesho tukutane Florida saa tano ukanioneshe hiyo nyumba ya vyumba vitatu ya 150k, mimi nitakupa 200k. Njoo inbox nikupe namba ya simu tuwasiliane.
 
Tanzania ni moja ... Mnazani bila Mkoa wa Arusha hii serikali ingejivunia nini huko duniani ? Kama hamuipendi Arusha kama sehemu muhimu hapa Tanganyika basi yawezensheni yale madanguro Posta na airport yaweze kutuletea fedha za kigeni.
 
Tuache ubishi, kesho tukutane Florida saa tano ukanioneshe hiyo nyumba ya vyumba vitatu ya 150k, mimi nitakupa 200k. Njoo inbox nikupe namba ya simu tuwasiliane.
In your free time unaeza fanya survey mwenyewe. Jana tuu huku mitaa ya back town kwa nyuma hizi nyumba za national housing ngarenaro kuna mtu kaingia kwa 150k. Hali ni ngumu sana arusha mkuu kama we ni mfanyabiashara hilo utakuwa umeliona.
 
Hiyo ni inflated price mkuu. Maeneo mengi arusha hata mama ntilie wanalalama kumaliza kilo 3 ya mchele ni shida.
Kwa hiyo bei yako ya sahani moja 8000, ni zile restaurant kubwa kubwa ambako waendaji wake ni wachache. Hata maeneo kama cafe laziz, ngiwaranecha hawauzi hiyo bei.
Cafe lazz, mwambao, kulan, chai ya naz na sawa sawa restaurants mkuu bei ya kuku n kufuru kuna mtaa inaitwa nguser kuna restaurant ya kawaida sana coz maana ni ya bat lakn bei ni hatr kuku ugal sehem ya paja n 7000 kuku kdar 4000 hapo n mtaa tu uzr mm n metembea hotel na hzo restaurant kubwa kubwa maana mm n supply wa vtu flan flan
 
Back
Top Bottom