Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo
hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya
kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili kupata fedha.
View: https://web.facebook.com/reel/3956767414570346