Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

T

Tatizo hivi vitoto vya UDOM havipendi kabisa kondom eti vinasingizia yale mafuta yanawafanya kuugua fungus
Sasa mie huwa navitwanga hivyo hivyo
Tena hata jumapili iliyopita niliingia mpaka hostel kwenye chumba cha kitoto flani hivi (chumba Chao wanalalaga wanne) sasa siku hiyo wawili hawakuwepo room kalikuwepo haka kamiss na rafiki yake mmoja hivi sasa tukiwa pale kitandani baada ya kuzima taa nikaanza kumshughulikia miss kumbe ile miguno inamtesa mwenzie anajigeuza geuza kitandani nilipomalizana na miss nikahamia kitandani kwa rafiki yake nikamgusa wa moto balaa anahema juu juu nikaona nimsaidie kushusha maruhani yake asije kufa bure mtoto wa watu!
Nililala humo nikawashughulikia kwa zamu mpaka wote wakatosheka wakalala niliondoka alfajiri nikiwa hoi
Leo tena miss ananitext kwamba turudie kale kamchezo ila iwe lodge aje na yule mwenzie maana wenzao washarudi.
jovaa🙆‍♂️🙆‍♂️tufwire nyambara
 
Hivi unajua hata watumishi wa umma kama waalimu, manurse wanawake weambukizwa
wengi kuliko watu wa kawaida kama wakulima
tatizo watu hawaambiwi ukweli ivyo hawajui kama shida hii ni kubwa kiasi gani.

na hayo ni matokeo ya kuingiza siasa sehemu zinazotaka kuwa serious.

sauzi na sisi tuna idadi karibu sawa ya watu ila wao wana wagonjwa karibia milioni 8 huku sisi eti milioni 1.6🤔🤔.

sasa hapo unajiuliza sisi tumefanya nini kilichopunguza hayo maambukizi kwa kiasi kikubwa ivo?

utakuta apo ni siasa tu za kuficha ukweli eti wasilete taharuki. watu waambiwe ukweli tu labda watachukua tahadhari kujilinda. kuficha hakusaidii
 
Ni kweli mkuu sisi tuna tabia ya kuficha sana mambo ila ki uhalisia

hiyo namba itakuwa kubwa zaidi. Mfano huko kwenye watumishi wa umma hali ni mbaya
sana kwenye majeshi, watumishi wa afya, waalimu na kadhalika.
 
tatizo watu hawaambiwi ukweli ivyo hawajui kama shida hii ni kubwa kiasi gani.

na hayo ni matokeo ya kuingiza siasa sehemu zinazotaka kuwa serious.

sauzi na sisi tuna idadi karibu sawa ya watu ila wao wana wagonjwa karibia milioni 8 huku sisi eti milioni 1.6🤔🤔.

sasa hapo unajiuliza sisi tumefanya nini kilichopunguza hayo maambukizi kwa kiasi kikubwa ivo?

utakuta apo ni siasa tu za kuficha ukweli eti wasilete taharuki. watu waambiwe ukweli tu labda watachukua tahadhari kujilinda. kuficha hakusaidii
Afrika Kusini wapo wazi sana hata Nelson Mandela miaka ya
2000S alitangaza wazi kuwa mtoto wake kafa kwa Ukimwi
na kuna wengine walikuwa washakufa kwa ugonjwa huo.
 
Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo
hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya
kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili kupata fedha.

Pia mdogo wako wa kiume wa chuo mwambie afunge zipu asome kwani
wengi wa wanachuo wenzao wakike wanakuwa nao lakini pia wanatembea
na hiyo mibaba inayowarubuni kisa fedha zao.

Wazazi ni wajibu wa kuwa karibu na mwanao ili ujue anaendeleaje na jitahidi
uzungumze nae mare kwa mara.

Serikali nayo inachangia kwa namna nyingine kwa kuto kutoa mikopo kwa wanafunzi
wote na pia kuchelewesha kutoa mikopo hiyo kwa wakati.
Wao wanatumwa kurudi na degree sio vvu kuna bango kubwa na isitoshe mashirika ya ukimwi ni mengi sana hivyo wanaitaji client
 
wengi wanasema saivi hiv sio tishio maana dawa ipo. kisichosemwa ni madhara ya izo dawa. kunywa dawa kwa muda mrefu kunachosha mwili na kuupa mwili shida nyingi. na ukiacha kunywa dawa tu hautoboi lazma ufe chap.
 
Ni kweli dawa hizo zinachosha na zina maudhi mengi sana. Hiyo lugha ya
kuwa sio tishio ni lugha ya kujipa moyo kwa sababu mtu ameshabukizwa
hana namna sasa na wengine wasio kuwa nao wanaingia kwenye mtego huo.
 
Vijana Sasa ndo wana HIV fresh afu wengi hawajui ....hatari mara mia
Ndio ila wengi wameambukizwa na hiyo Mibaba, Mbaba mmoja Kibosile
anaweza kuambukiza mabinti hata 50 kwa kuwapa elfu 20 au chipsi
kuku na mirinda.

Alafu vijana wa kiume wengi wao wanaupata sasa kwa hao madem
zao wanaotembea ni vibosile hao.

Japo kuna vijana wachache nao wanatembea na mishangazi ila kwa
umri wa wanachuo sio vijana wengi wa kiume wanafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom