Hali ya mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho ni kero tupu kama kawaida leo Novemba 15, 2023

Mradi unawaingizia maokoto ya kutosha hawana habari na abiria
 
Serikali ya maigizo na matamko uchwara.

Nani alifuatilia baada ya hapo kama hayo mabasi 70 yalitengenezwa, jibu rahisi ni kuwa story iliishia hapo hapo baada ya tamko.

Watu wako busy na upumbavu wa mtu kuingia mkutanoni na punda, bodaboda, ngamia na vitu vingine.

Typical mediocre minds .
images (34).jpeg
images (35).jpeg
 
Kuna watu wakikomenti hawashirikishi ubongo.
 
Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote.

Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu.

Hapa watu wameshakata tiketi, wengine wana hela za ngama, basi linakuja moja kisha lingine linakuja baada ya dakika 40 au zaidi.

Hakuna mvua kama ilivyosemwa na watabiri, labda ingetumika kama kisingizio, mamlaka zinatakiwa kuwajibika na ikiwezekana viongozi wanaosimamia usafiri huu wawajibishwe au wawajibike wao wenyewe, hii ni zaidi ya kero na shughuli nyingi za uchumi zimesimama.
Unachokisema kweli kabisa ndugu nilichokiona leo na jana vituoni kwakweli wana Nchi wana nya nyasika sana ndani ya nchi yao na ni huduma ya haki kabisa waipate lakini Serekali sijui ina jipangaje ktk kulimaliza hili. Ninacho kishangaa zaidi ni kutufanyia maonyesho ktk kutatua kero muhimu kama hii hasa kwa jamii ambayo ni wakimya ktk kila yanayo amuliwa na watawala.
 
Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote.

Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu.

Hapa watu wameshakata tiketi, wengine wana hela za ngama, basi linakuja moja kisha lingine linakuja baada ya dakika 40 au zaidi.

Hakuna mvua kama ilivyosemwa na watabiri, labda ingetumika kama kisingizio, mamlaka zinatakiwa kuwajibika na ikiwezekana viongozi wanaosimamia usafiri huu wawajibishwe au wawajibike wao wenyewe, hii ni zaidi ya kero na shughuli nyingi za uchumi zimesimama.
Ukiwa unasafiri na mwendokasi Mbezi wewe hesabia tu mateso Mkuu.

Ndio pako hivyohivyo hata wakati wa jua.
 
Si kweli, Bus zipo za kutosha.. hiyo njia napitaga mara nyingi tu, na kuna options nyingi za kufata ikiwemo kama usafiri ni wa tabu basi geuza na gari, gari iende mbezi urudi nayo simply. Ila watu watasema nauli hawana. Yaan huo umati wote hakuna mwenye 800 hapo au buku? Kujidekeza.

Pia kuna Bajaji zipo hapo zinaenda mjini kwa buku mbili mbili.
Mabus unayoona yako mengi yasome route, utakuta simu2000, gongolamboto na kwengineko, kwa mtu wa Posta itabidi aunge sana. Pia binadamu tulivo ukishaanza kusubiri la mwendokasi, unaamini unaeza kutoka tu likaja halafu haliji sasa🤣 unaishia kuhope inataka maamuzi magumu kuacha foleni ushakaa lisaa, sema kama mfuko unasoma unaachana nayo tu unachukua hata boda lakin pia ile ni huduma ya jamii, huwezi waambia wanaopanga foleni govt hospitals kwamba hawazioni private hospitals, utakuwa umekosa staha na heshima kwa utu, kwenye jamii tupo watu wa aina tofauti kama serikali ilishabeba jukumu kuhudumia usafiri hiyo njia basi wananchi kusubiri huduma hawana kosa kabisa, wanaocontrol mabus waache kuyabania wayaachie mengi maana Yapo.
 
Sasa hapo ishuke mvua watu sijui watakimbilia wapi au kwenye kituo cha polisi na choo cha umma hapo
Wakajisitiri [emoji1]

Ova
 
Mabus unayoona yako mengi yasome route, utakuta simu2000, gongolamboto na kwengineko, kwa mtu wa Posta itabidi aunge sana. Pia binadamu tulivo ukishaanza kusubiri la mwendokasi, unaamini unaeza kutoka tu likaja halafu haliji sasa🤣 unaishia kuhope inataka maamuzi magumu kuacha foleni ushakaa lisaa, sema kama mfuko unasoma unaachana nayo tu unachukua hata boda lakin pia ile ni huduma ya jamii, huwezi waambia wanaopanga foleni govt hospitals kwamba hawazioni private hospitals, utakuwa umekosa staha na heshima kwa utu, kwenye jamii tupo watu wa aina tofauti kama serikali ilishabeba jukumu kuhudumia usafiri hiyo njia basi wananchi kusubiri huduma hawana kosa kabisa, wanaocontrol mabus waache kuyabania wayaachie mengi maana Yapo.
Watu wanapenda mteremko.. sana. Maisha ya Dar hayataki slope.
 
Mvua ipo.. Tabata inanyesha sahivi.

Alafu kwani ni lazima mpande mwendokasi? Zamani mlikuwa mnaendaje huko ktk mizunguko yenu?
Zamani Daladala zilikuwa zinafika Posta na Kariakoo kutokea Mbezi mkuu.

Siku hizi zimepigwa marufuku ili kupisha Mabasi yaendayo kasi kutoa huduma kwa njia hiyo.

Mtu kutoka Mbezi kwenda Kariakoo ama Posta hana njia nyingine zaidi ya kutumia Usafiri Binafsi ama kupanda Mwendokasi.
 
Waunge usafiri, waache akili mgando.
 
Waunge usafiri, waache akili mgando.
Kwa akili yako, unadhani watu ni wajinga kusubiri kupanda hayo mabus?
Ama unadhani watu wanapenda hizo shida?

Kutoka Mbezi hadi Posta ama Kariakoo bila kupanda mwendokasi ni lazima uchelewe sana.
Njiani Kuna foleni sana,achilia mbali mataa.
Mwendokasi ikishatoka haikai foleni.

Aliyesubiri hilo gari saa nzima,na yule aliyepanda daladala kwenda kuunga,aliyesubiri hilo gari atawahi kufika kuliko aliyepanda daladala.

Solution ni kutatua kero za hayo mabus.,na kama hawawezi basi warudishe route za daladala kwenye hizo route.

Unaelekezwa lakini bado umekaza fuvu na kujifyatua ufahamu.
 
Sasa waendelee kusubiri waache kulialia. Kama option ya daladala za kuunga ipo na wao wanakaza makalio kusubiri usafiri wa Mwendokasi (Slope) wasisumbue watu kuwalalamikia.
 
Acha upumbavu Mkuu,,
Siku zote ninavyoiona hii I'd huwa nadhani una akili..kumbe sivyo.
 
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Back
Top Bottom