Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

Hai wanaolima huko vijijini mbona ndio maskini?. Acheni kutetea ujinga. Hali ya Maisha ni mbaya, Kama wewe umeshiba kaa kimya, usiwasemee wenye njaa.
Tunaonekana Masikini kwasabu hatuvai tukapendeza lakini watoto wanasoma vyuo Tena private tunauza mifugo na mazao, pia huku kuuza unga kwanza ni aibu...huta ona mtu mzima Kama ww analalamika na Bei za unga...
 
[emoji506][emoji506]
JamiiForums1989323903.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe ni yupi hapo ndugu?

View attachment 2580639

Rudi kawaambie waliokutuma kuleta utetezi uchwara huku, maji yamekuzidi kimo.
Syo utetezi hoja ni kwamba usisingizie ufisadi ukaacha kulima au kujishughulisha kwa kujitafutia kipato na unga wa ugali...hao mafisadi huwa hawatuombi unga majumbani Wala hawatupol mazao na mifugo yetu..ss tu tufanye Kaz tuhakikishe unga na maharage syo ishu tena
 
Usipate taabu mjomba rudisha Majibu pichani pale chini ya meza si muda mrefu watasimama.

Pichani chini si muda mrefu sufuria litainjikwa kwenye mafiga:

IMG_20211119_091739_123.jpg

Mtakurupuka wote mle, kama mapanya!
 
Usipate taabu mjomba rudisha Majibu pichani pale chini ya meza si muda mrefu watasimama.

Pichani chini si muda mrefu sufuria litainjikwa kwenye mafiga:

View attachment 2580677

Mtakurupuka wote mle, kama mapanya!
Usiangalie kipato Cha wengine angalia kipato chako...wenzetu Kenya 85% ya Ardhi Ni semi desert ss huku maeneo kibao lakini tumefanya kulima Kama ni ushamba tunaona Bora tuwe tunacheza na mikeka ya mhindi
 
Tumelipokea kama chama,ila tuseme tu endeleeni kukaza Miku*duh maana sisi wenyewe hizo billions hazitutoshi tuna majukumu jamani
 
NI AIBU KWA MTANZANIA KULALAMIKIA VITU KAMA,
Mchele
Maharagwe.
Mafuta.
Unga
AMBAVYO VINALIMWA HAPAHAPA TZ...
Mpo mijini mnazurulazulura na mikeka mikononi mmeacha maeneo ya kulimia wanachungia ngo'mbe tu, halafu daily kulalamika bei ya unga wa ugali serious! Haya njoo uchukue debe mbili za mahindi ukasage unga
Hoja nyepesi sana hii
 
Hoja nyepesi sana hii
We huoni aibu kulia na bei za unga wa ugali...huo ugali inamana hujui unatoka wapi? Nunua hata mhind wa kuchoma ukaushe then peleka nashineni wakakusagie utoke unga...Ila achana na habari za kulilia bei ya unga na maharage
 
Naendelea kusema hoja nyepesi, fikira zako ni kwamba Kila mtanzania anaweza kuingia shamba.

Food security ni swala la Serikali siyo jukumu la mwananchi, kazi ya mwananchi ni uzalishaji wenye tija Katika Kazi zake.

Kila MTU ana majukumu Tofauti na ya Mwenzake, huwezi kusema Eti watu wote walime akíli za kijima hizi.
 
Siyo kweli kuu food security should be handled kuanzia kwenye family level
 
Siyo kweli kuu food security should be handled kuanzia kwenye family level
Huwezi kutunza Chakula Kama bei ya vitu vingine Ipo juu. You will need to sell more food products to afford cooking oil, sugar construction materials, Transport etc etc..
 
Back
Top Bottom