Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili uweze kuiona uisomeSasa hii inahusikaje na nyuzi ya mtoa mada.
Maarifa gani? Hebu orodhesha machache.Swala sio tuu kufanya kazi Bali kufanya kazi Kwa maarifa
Negative thoughtsHao uliowataja unataka wakakulimie au? Hii tabia ya utegemezi na kudhani watu Fulani ndio wekusababishia Ugumu wa Maisha ni mbaya sana.
Wenye mapesa wao wametoa wapi?Maarifa gani? Hebu orodhesha machache.
Maana maarifa ya mtanzania wa kawaida kupata pesa kihalali ni ngumu sana labda afanye maarifa ya kuhujumu uchumi, kukwepa kodi,michongo na madili..
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nchi zilizoendelea hicho kilimo kinafanywa na wawekezaji 20 tu nchi nzima sasa we unataka kila kijana ashike jembe wakati ulimwengu huu umebadilika sana kutokana na maendeleo ya technolojia mawazo yako ya kijima sanaNI AIBU KWA MTANZANIA KULALAMIKIA VITU KAMA,
Mchele
Maharagwe.
Mafuta.
Unga
AMBAVYO VINALIMWA HAPAHAPA TZ...
Mpo mijini mnazurulazulura na mikeka mikononi mmeacha maeneo ya kulimia wanachungia ngo'mbe tu, halafu daily kulalamika bei ya unga wa ugali serious! Haya njoo uchukue debe mbili za mahindi ukasage unga
Maisha magumu yanasababishwa na sera, na maamuzi ya Serikali ambapo wafanyaaamuzi ni hao Mawaziri na Rais.Hao uliowataja unataka wakakulimie au? Hii tabia ya utegemezi na kudhani watu Fulani ndio wekusababishia Ugumu wa Maisha ni mbaya sana.
Kwa hiyo Tanzania nzima watu wanabeti au unamanisha nini?,na kama Taifa watu wengine wanashiriki upatu jua hayo ni matatizo yanayotokana na Serikali.NI AIBU KWA MTANZANIA KULALAMIKIA VITU KAMA,
Mchele
Maharagwe.
Mafuta.
Unga
AMBAVYO VINALIMWA HAPAHAPA TZ...
Mpo mijini mnazurulazulura na mikeka mikononi mmeacha maeneo ya kulimia wanachungia ngo'mbe tu, halafu daily kulalamika bei ya unga wa ugali serious! Haya njoo uchukue debe mbili za mahindi ukasage unga
Kwani wewe unadhani anayesababisha gharama za Afya kuwa juu ni nani!,Mipango hovyo ya Serikali.Kwa hiyo hao uliowataja ndio wanesababisha gharama za Afya kuwa Juu?
CAG ametaja jina la mtu kwenye ripoti yake?
Hivi wewe unajua unachokiandika aununatete pasipo uelewa.Hivi kabisa mtu miaka hii ya Sasa unalia na bei za unga wa ugali, na mahindi yanastawi popote pale nchini, halafu mtu unataka serikali iweke ruzuku kwenye unga serious! Kijana achana na uvivu, unatutia aibu..Sasa ufisadi unahusiana vipi na ww kushindwa kuwa na unga? Achana na mikeka mkuu
Mkuu Kwamba mama ndo alete mvua,ndo awahimize watu waende mashambani!?,hebu tuweni siriazi japo kidogoMama asipoamka mambo yatamharibikia vibaya!
Mama asipoamka mambo yatamharibikia vibaya!
Sasa Rais hashinikizwi bali anafanya kazi Kwa mujibu wa Sheria ,so lazima utaratibu ufuatwe sio tuu kama mihemko Yako inavyotaka..Kwani wewe unadhani anayesababisha gharama za Afya kuwa juu ni nani!,Mipango hovyo ya Serikali.
Sio lazima CAG ataje jina LA MTU kwenye report,kama ni madudu yanafanyika huko anayetakiwa kutekeleza majukumu yake hayo madudu yasifanyike ni Rais-ndio maana report inapelekwa kwake.