Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

Tafuta ela hayo mambo hayana maana
Asante kwa ushauri....lakini usinichagulie yaliyo ya maana. Ya maana au yasiyo ya maana, hayo uniachie mimi kuyachagua na kudadavua. Asante.
Watu wanauza kahawa hekari moja milioni 6 na wanaendesha maisha Yao
Wacha wauze na waendelee na maisha yao. Mimi nina yangu..hatahivyo ni taarifa nzuri na mwenye masikio asikie na mwenye macho aone.


Nb: Nimeuza Kahawa kwa matani miaka ya nyuma najua faida na hasara za Biashara hiyo.

Utaeleweka, Umebarikiwa sana.
 
Aisee
 
hakuna namna zaidi ya kusema, kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake. Anyway! No way out.
 
Rais hauhusiki kwenye Hali ngumu ya maisha ni tokana na mifumo yetu mibivu tuliojiwekea

Unworking government machineries'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…