Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

Ulikosea sana kuja Dar, wenzako waliokuja kwa pupa wengi wao hivi sasa wanashikishwa ukuta huko mitaani. Sema tu wewe ni jasiri kwa kuamua kukomaa na maisha badaΕ‚a ya kuinamishwa, hongera sana kwa hilo. Vumilia tu utafika.
Ahahaha mkuu kweli mi ni jasiri maana nakomaa tuu haijarishi na hayo mambo ya kushika ukuta ni kuomba Mungu tu atuepushe kwa kweli sio wewe wala sio mimi
 
Kuna wamama wamekuja job hapa wanasema niwe napigia taarabu mda wote nikiweka nyimbo za kina bongo fuleva nisahau kupata wateja hapa...

Imagine mkwara kama huo wa wamama wauza vitafunwa hapa

Wakuu hali ya mjini huku sikia tuu.
Mueshimu sana mfanya biasharaa
raraa reree najua hii ujapitia
 
Back
Top Bottom