muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Ndiyo kipindi cha kutiana mimba hiki.Imekata mda sio mrefu, ila baridi bado ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kipindi cha kutiana mimba hiki.Imekata mda sio mrefu, ila baridi bado ipo
Daah we (tusi) acha uchawatunampongeza mama kwa kuleta mvua kubwa.
Jana nilikua Russia kwakweli palikua na mafuriko na baridi kali sana, nasasa ndio kwanza nimeshuka hapa Dubai nimekutana na maji yametapakaa down town kimo cha goti.Leo siku ya pili mvu inanyesha na kaubaridi kwa mbali,
Hayo mabati ni masafi?Huku ni tunaokoa pesa ya kuchota maji bombani
Ndio mkuu ni masafi kabisaHayo mabati ni masafi?
Yaani🤒🤒Ndiyo kipindi cha kutiana mimba hiki.
Njoo 'nikumeri' rain season ikiisha tu part ways😔 mvua inanyeshaje weekend jamani
Mpaka nimetamani ningekua Married at🙃
🤔au basi wacha inyeshe
Si ndio hivo au???🤣🤣🤣Hivi unadhani mkiwa married ikinyesha tu mvua unapelekewa moto?
Hamna mnakaa tu ndani mna mawazo ya ada,fundi ujenzi ,gari ipo garage,mama mkwe anaumwa anatakiwa pesa,begi la junior limechakaa,Mwezi ujao kipaimara Cha Larissa basi ni kisangaSi ndio hivo au???