Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

Leo siku ya pili mvu inanyesha na kaubaridi kwa mbali,
Jana nilikua Russia kwakweli palikua na mafuriko na baridi kali sana, nasasa ndio kwanza nimeshuka hapa Dubai nimekutana na maji yametapakaa down town kimo cha goti.
Sasa sijui hili bwawa la mwalimu huko rufiji limeleta madhara hadi huku...🙆‍♂️
 
Yaani uchawa sometimes ni hatari kuna watu wanasema maza kaleta mvua,, 😢😢sadly enough
 
Wasalam,

Tupeane update hapa hali na madhara ya mvua hizi zinazosemwa kuwa ni elnino huko ulipo.
Madhara yameendelea kuwa makubwa sehemu tofauti nchini, kuanzia mikoa ya ukanda wa bahari ya hindi, kaskazini n.k

Vifo vya watu, mifugo ambayo haisemwi, mazao pamoja na mali nyingine zikipotea kwa kusombwa na maji.

Nyumba nazo zinaenda kubaki na uchakavu. Madhara ni mengi.
Tuambizane hali ikoje huko ulipo.
 
Tupeane updates jamani,ukiona Safina sehemu toa taarifa mana hizi mvua kama zile za Nuhu[emoji23][emoji23]
 
sehemu niliyopo naisi mvua imeisha maana wiki ya pili amna mvua.
 
Back
Top Bottom