Marshall plan
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 644
- 980
Hata kama ni njia ya kumfikia Mungu utofauti upo, Ukristo sio Uislam. Hii sio mada ya msingi. Mada ya msingi ni jinsi unavyomtetea John Sinns wa Bongo.Wewe ndio unaona tofauti
Kinachofundishwa ni kilekile .....watu msiojua ndio mnaona tofauti.
Ndio maana walokole wanabatiza ukiwa mtu mzima kwa maana ya kwamba umewaelewa mitume wote ipasavyo na unaamua kumtumia Yesu kama " njia" ya kumfikia Mungu!
Kanisa la ufufuo na uzima nchini TanzaniaHivi nani alimweka wakfu Askofu Gwajima ?????.
Askofu au dalali wa dini?Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima hana moral authority ya kumpa mtu yoyote laana.Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima akinena mabaya dhidi ya wengine Mungu anakua hana hasira?Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Na ushahidi upo alivyokuwa anamgaraza kifo cha mende.Na aanze kulaanika aliyekula kondoo wake kwanza. Kwani hakula kweli?
Mambo huenda vice versa, ukimwita mwenzako kwa jina baya basi ujue nawewe utaitwa kwa jina baya pia.Sijajua kwanini Halima alisema ameletewa “Mrembo”
Kiukweli haipendezi kutoa maneno kama hayo!
Huyo ni Mwanaume mwenye mke na familia kwanini anamwita Mrembo?
Kweli mleta mada dhihaka na kejeli hazipendezi !
Ile ya kumgaragaza muumini halafu akikaribia kushusha wazungu ananong'ona 'thanks' nayo umeiona?Nimeandika neno "Gwajima" nimeletewa picha mchanganyiko kuna nyingine anahubiri nyingine anatoa macho
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Mzinzi aweza kumlaani mtu? Hasha! Labda kumloga!!!Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!
Umeeleweka sana.Sisi wananchi wa kawe tunawasikiliza na kuwapima. Wajikite tu kwenye hoja na Ilani zao. Mengine watuachie sisi tarehe 28/Oct/2020.
HovyoNamshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.
Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.
Maendeleo hayana vyama!