Uchaguzi 2020 Halima Mdee aache kumnenea mabaya Askofu Josephat Gwajima, akikaidi atapata laana!

Kama kumtukana mcheza porno ni laana naomba na Mimi nilaaaniwe!!

Huyu aliyewatukana waislam!!
Aliyemtukana Askofu wetu?!!

Aliyemdhalilisha mtoto wa Rais. Ndg DAB!!

Aliyemtukana Dr mihogo Slaa??

Au hizo laana siku hizi zinatolewa na wacheza porno??
 
Wewe ndio unaona tofauti

Kinachofundishwa ni kilekile .....watu msiojua ndio mnaona tofauti.

Ndio maana walokole wanabatiza ukiwa mtu mzima kwa maana ya kwamba umewaelewa mitume wote ipasavyo na unaamua kumtumia Yesu kama " njia" ya kumfikia Mungu!
Hata kama ni njia ya kumfikia Mungu utofauti upo, Ukristo sio Uislam. Hii sio mada ya msingi. Mada ya msingi ni jinsi unavyomtetea John Sinns wa Bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nani alimweka wakfu Askofu Gwajima ?????.
 
Sijajua kwanini Halima alisema ameletewa “Mrembo”

Kiukweli haipendezi kutoa maneno kama hayo!

Huyo ni Mwanaume mwenye mke na familia kwanini anamwita Mrembo?

Kweli mleta mada dhihaka na kejeli hazipendezi !
 
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.

Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.

Maendeleo hayana vyama!
Askofu au dalali wa dini?
 
Gwajima hana moral authority ya kumpa mtu yoyote laana.
 
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.

Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima akinena mabaya dhidi ya wengine Mungu anakua hana hasira?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua kwanini Halima alisema ameletewa “Mrembo”

Kiukweli haipendezi kutoa maneno kama hayo!

Huyo ni Mwanaume mwenye mke na familia kwanini anamwita Mrembo?

Kweli mleta mada dhihaka na kejeli hazipendezi !
Mambo huenda vice versa, ukimwita mwenzako kwa jina baya basi ujue nawewe utaitwa kwa jina baya pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada nakuelewa vizuri maana inasemekana hata wanaotajwa kuitengeneza ile picha ya ngono Eti tayari wameshaanza kupatwa na kama hayo uloandika!

Alisikika jamaa fulani akiongea kwenye daladala!
 
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.

Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.

Maendeleo hayana vyama!

Askofu wako atapigwa laana kotekote kwenye siasa chali kanisani chali, huwezi tumikia mabwana wawili uongo na ukweli.
 
View attachment 1573275
Eti vitabu vya Kijapani vipo Amazon. Nimesearch amazon yote hakuna
Screenshot_20200918-122029.jpg

Kweli uongo kipaji [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.

Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.

Maendeleo hayana vyama!
Mzinzi aweza kumlaani mtu? Hasha! Labda kumloga!!!
 
Sisi wananchi wa kawe tunawasikiliza na kuwapima. Wajikite tu kwenye hoja na Ilani zao. Mengine watuachie sisi tarehe 28/Oct/2020.
 
Siasa ni mchezo mchafu akubali kuchafuka. Huwezi lima mpunga bila kukanyaga tope
 
Namshauri tu Mbunge wa Kawe aliyemaliza muda wake Halima Mdee kwamba aache kumnenea mabaya Mbunge mtarajiwa wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania Dkt. Gwajima.

Kadhalika awakanye vijana wake wa kampeni waache kumdhihaki askofu mkuu Gwajima mara moja vinginevyo hasira ya Mungu itawashukia na wanaweza kulaanika.

Maendeleo hayana vyama!
Hovyo
 
Back
Top Bottom