Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Itabidi tu hata kama atakuwa hataki ila mpaka yeye amejua hali ngumu ndo maana amewekeza viti maalum
 
Bora upumzike katika ishu za siasa tu halima maana hujafanya chochote kazi yako ilikuwa ni kupiga porojo tu
 
Huyu bibi aende kijijini sasa akalime mihogo
Mana kawe wamesarenda na yeye
 
Gwajima kaliamsha dude kawe kama ni ugoro basi umejitia puani ni mwendo wa Chafya halima pumzika.
 
Me nasubiri tu matokeo baada ya kumpigia kura Gwaji boy na diwani wa kata yangu bila kumsahau shujaa wetu ako magu
 
Maisha yanabadilika sana! Ni zamu ya Gwajima na hilo halipingiki.Tarehe 28.10 ndo tutajua nani ataibuka na ushindi
 
Halima anachofanya ni tamaa ya madaraka wakati hana uwezo na nguvu za kuleta mabadiliko.
 
Halima hali ni mbaya mpaka ameaumua kuvaa majubaa ili asijulikane maana wananchi wanahasira naye balaa
 
Safari njema Mdee subiri kidogo uone bingwa akifanya mambo kawe
 
Halima siasi alikuwa amechoka muda tu ndiyo maana alikua ajishughulishi na wanakawe unaweza kuamini miaka kumi yote aliyopewa alichofanya ni jina lake kujulikana kuliko maendeleo aliyoyafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…