Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Sasa hivi tunamtaka na tunamchagua mtu atakaye tatua matatizo yetu ya Kawe[emoji106]

Halima umekuwa mfu
 
Nilishangaa kuona sera za mdee ni matusi na dharau, kiukweli sio sifa za kiongozi kutumia lugha chafu mbele za watu unategemea kuwaongoza, miaka 10 imetosha, mdee pumzika mtumishi akusaidie
 
Bi kidude anatakiwa kufanya demokrasia kwa watu wa kawe kwa kutokutumia nguvu na kupoteza muda kwasababu hana vigezo vya kutuvusha kawe .
 
Tunapenda wanawake waongoze kwenye jamii na tumefanya hivyo Kawe kwa miaka kumi, hatuwezi kulaumiwa kwa kuminya nafasi za kisiasa. Tatizo ni kumpa mtu nafasi mara nyingi hivi na bado hamna anachofanya.

Kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi bungeni, Halima amekuwa wa kuisema serikali mitandaoni na huku wananchi wake hawana maji.

Mbaya zaidi ni kwamba ameandika kitabu kilichojaa utekelezaji hewa. HII NI DHARAU
 
Yaani wewe bibi hatukupendi embu sepa kwa amani. Yaani ungo wako sisi tumekuchoka, miaka kumi bila mafanikio wala mabadiliko alafu bado unakata utuongoze.

Hatuwezi kukubali kuongozwa na mtu ambaye anajali tumbo lake na sio maendeleo ya wananchi wake. Kiukweli wewe achia ngazi tu maana sisi wana Kawe tumechoka kuongozwa na bibi ambaye hana future yeyote
 
Mdee ukionaje njoo ccm tukufundishe namna mambo yanavyofanywa kwa wananchi sio kuandika tu hoja za uongo huko
 
Ingekuwa mm ni Halima nisinge jidhalilisha kugombea tena kwakweli maana hakuna alichowasaidia wananchi wa Kawe.
 
Mmeza chura sauti zege hufai kabisa ndiyo maana hadi wanachama wa CHADEMA wanakukataa kwa sababu huwa huwathamini
 
Back
Top Bottom