Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Safari hii asitegemee kupata hata kura maana wananchi wa Kawe na kata zake tumeazimia kwenda na Gwajiboy.
 
Halima mdee fedha za almashahuri kazipeleka wap za kila mwaka kwa miaka yote kumi????
 
Gwajima ni kiongozi pekee atayevusha kawe na taifa lote kwa ujumla
 
Tunamchagua Gwajima na tunaitaka CCM,,,,, halima hana alicholibakiza Kawe
 
yaani hatuwezi kuongozwa na mtu kama wewe tokaaaaaa tuachike Gwajima wetu
 
Kweli serikali ya awamu hii ni tulivu mpaka sasa bado yupo uraiani na anapitapita kujifanya anaomba kura zetu tena anadhani tutamchagua tena?
Aende zake na ahadi zake za uongo.
 
Kuna mambo ya Kiwaki huyu manzi anafanya halafu anawaza sisi chenga kama yeye. Tunamsubir sana huku machimbo aje tumpige chepe za uso.Kmk
 
Mdee huna lako tena
 
Halima n mpigaji alilijua hlo ndo maana akaona achukue fomu mbili maana alijua kupata tena ubunge haiwezekan kabsa ndo maana akachuka viti maalumu
 
Mashtaka yanayomkabili kwenye uongo huo
1.hajamaliza mogogoro
2.Miradi hewa mfano ya computer
3.Madaraja mabovu.
4.Ufojishaji wa hesabu za serikali na kutumia kwa matumizi yake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…