Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Katika wakati huu wa heka heka za kampeni katika majimbo mbali mbali NCHINI Tanzania bara na Zanzibar kumekuwa kunaibuka kauli na Sera mbali mbali zinazoonyesha nini unataka kuwafanyia wananchi wa Jimbo lako au kata yako kwa kutegemea ngazi ya uongozi unayogombea.

Hali hiyo imekuwa tofauti kwa HALIMA MDEE alipokuwa akijitokeza katika kampeni kwenye kata mbalimbali ambapo imepelekea nyakati tofauti jeshi la polisi kumsaidi ili asipate kipigo au ZOMEAZOMEA ya wananchi wenye hasira Kali JUU take JUU ya kushindwa kutekeleza Yale aliyowahaidi wakati wa uchaguzi wa 2015 kushindwa kuyatekeleza kwa asilimia 100.

Wananchi hao wa Jimbo la Kawe kwa nyakati tofauti wamedai anakujaje na Sera mpya wakati zile za nyuma hajazitekeleza si anatuona sisi watoto wadogo sana kila wakati wa kampeni anakuja kutudanganya kwa maneno ya kijinga. Mwaka huu HATUTAMCHAGUA maana si muwakilishi kwetu wa Maendeleo

Pia wananchi wa Kawe wanashindwa kumuelewa Halima Mdee kwa siasa anazozifanya za uvunjifu wa AMANI maana anatumia lugha za kukashifu watu na viongozi wenzie hii inaonyesha kupoteza kwa mgombea ndio maana Ananadi matusi badala ya Sera.
utekelezaji hewa na fedha ya uma unakula tokaaaaaaa jambazi kabisa
 
Huyu ni mwezi tu sasa tunataka mabadiliko.. tumemua kuambatana na Gwajima
Dah halima unawaibia hadi wananchi wako kawe hatukutaki wakati huu
Mimi nimkazi original na mzawa wa kawe maeneo ya huku ni mabovu sana na mengine hatarishi kwa maisha ya watu hasa kipindi cha mvua
Huyu mama anasifika sana kwa wizi wa fedha
Duuuu huyu dada ni mwizi tunamtaka Gwajima kawe
Gwajima ndo mbunge tunaemuhitaji kwenye jumbo letu. Kawe mpya na Gwajima
Nimesoma hcho kitabu n mauzauza tu kumbe ndo zake hzo dah
Wana Kawe hatuitaji hata kumuona kwenye jimbo letu.

Mdee hafai na hatumtaki kawe mtu mwenye ahadi za uwongo na mtu anayehujumu uchumi wetu hatumtaki.....sasa hivi tunataka kwenda na Gwajima na CCM
Account zooote hizi ni mpya zote, zina mwez au miezi miwili

Wameshashauriana huko kwenye groups zao za WhatsApp wanakuja vamia huku

wasted sperm's
 
MKANGANYIKO WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA FEDHA YA MFUKO WA JIMBO LA KAWE ZAIDI YA SHS 126 MILLION ZIMEFUJWA….

Nimeipitia taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya fedha ya mfuko wa jimbo la Kawe iliyoandikwa na Halima Mdee (mbunge aliyemaliza muda wake) na kukugundua kuwa taarifa hiyo ni wizi mtupu. Taarifa hii inaonyesha ubadhirifu wa fedha za jimbo na inamwondolea sifa Halima Mdee kupewa hata dakika 1 ya ziada kuendelea kuwa mbunge wa Kawe. Taarifa hii ina uongo mwingi na inaonyesha kuwa kiasi cha zaidi ya Shs 126 milion zimefujwa na mpaka leo hazijatekeleza miradi iliyokusudiwa.

Taarifa hiyo ya mfuko wa jimbo inaonyesha kuwa jumla ya shs 330,067,914 ilipolekewa na kupelekwa kwenye kata kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali lakini kiasi kilichotumika (kwa mujibu wa taarifa hiyo ni Shs 203,917,913 tu. Kiasi cha Shs 126,150,000 hakijatumika mpaka leo na kwa mujibu wa taarifa hiyo kiasi hiki bado kiko kwenye akaunti za kata!!!! Wakati kiasi hiki kikiwa hakijatumika lakini miradi iliyokusudiwa kutekelezwa na fedha hii imejumuishwa katika idadi ya miradi iliyotekelezwa katika miaka 5 ya Halima kuwa mbunge!!! Je miradi hii ilitekelezwa kwa fedha ipi? Maana fedha iliyokusudiwa mpaka leo inasemekana iko kwenye akaunti benki!!! Na kama kweli fedha hiyo iko benki (kitu ambacho sidhani ni kweli) zinafanya nini benki mpaka sasa??? Kwa nini hazijapelekwa kutatua kero za wananchi?? Kama Halima ameshindwa kusimamia utekelezaji wa Shs 330 million alizopewa kwa ajili ya mfuko wa jimbo ili zitumike kutatua kero za wananchi basi hafai kuwa mbunge wetu wananchi wa jimbo la Kawe.

Kwa mfano:

1. Mwaka 2015/16 taarifa inasema shs 3,000,000 zilizopelekwa kwenye kata kwa ajili ya kuchonga barabara ya Gold star bado haijatumika na iko kwenye akaunti ya kata (Ukursasa wa 20) !!!! Yaani kwa miaka 4 hela hiyo imekaa kwenye akaunti ya kata bila kutumika??? Je ni kweli hela hiyo bado ipo kwenye akaunti??? Na kama kweli ipo, je kwa nini haijatumika kwa ajili ya kazi iliyokusudiwa????

2. Mwaka 2016/17 kiasi cha shs 3,000,000 kwa ajili ya kujenga kivuko mbezi shule (ukurasa wa 22) bado iko kwenye akaunti na haijatumika!!!! Pia shs 5,000,000 (ukurasa wa 23) kwa ajili ya kumailizia kituo cha polisi Maputo bado iko kwenye akaunti ya kata na haijatumika!!! Yaani kwa miaka zaidi ya 3 pesa ya mradi kiasi cha shs 8,000,000 bado imekaa kwenye akaunti??? Je fedha hii kweli ipo??? Kwa nini haijatumika kwa muda wote huo???

3. Taarifa ya Halima inaonyesha Pesa ya mfuko wa jimbo kwa mwaka 2017/18 kiasi cha shs 20,000,000 (ukurasa wa 24) mpaka leo haijatumika na bado iko kwenye akaunti ya kata!!!! Mchanganuo wa pesa hii ambao mpaka leo inasemekana iko kwenye akaunti na haijatumika ni kama ifuatavyo: Shs 5 million kwa ajili ya kujenga kivuko cha waenda kwa miguu kata ya Mbezi juu; shs 10 million kwa ajili ya marekebisho ya barabara ya Mbezi mtoni na shs 5 million kwa ajili ya kujenga kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki Ununio. Je fedha hii kweli ipo??? Kwa nini haijatumika kwa muda wote huo???

4. Kwa mujibu wa taarifa ya Halima, mwaka 2018/19 kiasi cha shs 20 million (ukurasa wa 27) ya mfuko wa jimbo iliyopelekwa kwenye kata bado iko kwenye akaunti na haijafanya kazi iliyokusudiwa lakini kwa wakati huohuo ripoti inaonyesha kiasi kilichopo kwenye akaunti ni shs 67,550,000. Sasa sijui kipi ni kipi hapa???!!!! Je fedha ambayo haijatumika kwa mwaka 2018/19 ni shs 20,000,000 au shs 67,550,000? Ni wazi kuwa taarifa hii imepikwa tu na haina mantiki yeyote...

Mchanganuo wa fedha za mwaka 2017/18 katika ukurasa wa 27 hadi 29 unachanganya kweli kweli maana hauoani kabisa na summary katika ukurasa wa 27. Mchanganuo unaonyesha kuwa fedha iliyopelekwa akaunti ya kata ni shs 67,550,000 na haikutumika kabisa!!!! Yaani pesa yote hii mpaka leo bado iko kwenye akaunti za kata!!!! Ajabu kweli kweli...

5. Mwaka 2019/20 (ukurasa wa 30 hadi ukurasa wa 32) unaonyesha kiasi cha shs 27,600,000 zilizopelekwa kwenye kata hazijatumika mpaka leo na bado ziko kwenye akaunti ya kata!!! Mchanganuo wa pesa hii ambayo haijatumika ni kama ifuatavyo: Kujenga kivuko cha waenda kwa miguu mbezi shule (Shs 10 million); Kupanga mawe barabara ya Mbezi mtoni (Shs 15 million); kununua kompyuta ya ofisi ya kata ya Bunju (Shs 600,000); Kumwaga kifusi barabara ya Mbezi tangi bovu (Shs 2 million). Pesa yote hii kiasi cha shs 27,600,000 haijatumika tangu ipelekewe kwenye kata kama kweli ilipelekwa.

Halima amefuja shs 126 million? Kwa mujibu wa taarifa ya Halima; Fedha hii inasemekana kuwa iko kwenye akaunti za kata. Nimefatilia akaunti za kata zote za jimbo la Kawe lakini fedha hizi hazipo. Mtu aliyeshindwa kusimamia fedha yetu hafai kuwa mbunge wetu.
Gwajima kawe inakuita [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kakitabu kenyewe kamejaa ufyokorooo yaniii Hatutaki kusikia kabisa Sera zake za kipuuziii, Gwajima ndo Mbunge wetu na kama hutaki basi kufa
 
WanaKawe HATUMTAKI TENA mdee
 
Ujinga mtupu,
Ni wapi mbunge Ana idhinisha matumizi ya mfumo wa Jimbo bila wenzake,

Unajua hizi hela nani anazitoa na zinahifadhiwa acc ipi?
 
Halima halima Halima nimekuita mara tatu unasema hela haupewi ndo maana haujakamilisha ulivyoahidi kumbe unapewa pesa inaishia tumboni mwako kweli alafu unakuja tena kuomba kura umeona sisi wanakawe n wajinga kiasi hcho hapana wakati huu nenda kaolewe tu kwanza
 
utekelezaji hewa na fedha ya uma unakula tokaaaaaaa jambazi kabisa
Katika wakati huu wa heka heka za kampeni katika majimbo mbali mbali NCHINI Tanzania bara na Zanzibar kumekuwa kunaibuka kauli na Sera mbali mbali zinazoonyesha nini unataka kuwafanyia wananchi wa Jimbo lako au kata yako kwa kutegemea ngazi ya uongozi unayogombea.

Hali hiyo imekuwa tofauti kwa HALIMA MDEE alipokuwa akijitokeza katika kampeni kwenye kata mbalimbali ambapo imepelekea nyakati tofauti jeshi la polisi kumsaidi ili asipate kipigo au ZOMEAZOMEA ya wananchi wenye hasira Kali JUU take JUU ya kushindwa kutekeleza Yale aliyowahaidi wakati wa uchaguzi wa 2015 kushindwa kuyatekeleza kwa asilimia 100.

Wananchi hao wa Jimbo la Kawe kwa nyakati tofauti wamedai anakujaje na Sera mpya wakati zile za nyuma hajazitekeleza si anatuona sisi watoto wadogo sana kila wakati wa kampeni anakuja kutudanganya kwa maneno ya kijinga. Mwaka huu HATUTAMCHAGUA maana si muwakilishi kwetu wa Maendeleo

Pia wananchi wa Kawe wanashindwa kumuelewa Halima Mdee kwa siasa anazozifanya za uvunjifu wa AMANI maana anatumia lugha za kukashifu watu na viongozi wenzie hii inaonyesha kupoteza kwa mgombea ndio maana Ananadi matusi badala ya Sera.
huna huruma hata na watu wako boya kwelii wewe ulivyo kuwa huna hata nsoni kwenye macho yako unatoa nakitabu kwamba umefanya kila kitu. choko wewe
 
MKANGANYIKO WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA FEDHA YA MFUKO WA JIMBO LA KAWE ZAIDI YA SHS 126 MILLION ZIMEFUJWA….

Nimeipitia taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya fedha ya mfuko wa jimbo la Kawe iliyoandikwa na Halima Mdee (mbunge aliyemaliza muda wake) na kukugundua kuwa taarifa hiyo ni wizi mtupu. Taarifa hii inaonyesha ubadhirifu wa fedha za jimbo na inamwondolea sifa Halima Mdee kupewa hata dakika 1 ya ziada kuendelea kuwa mbunge wa Kawe. Taarifa hii ina uongo mwingi na inaonyesha kuwa kiasi cha zaidi ya Shs 126 milion zimefujwa na mpaka leo hazijatekeleza miradi iliyokusudiwa.

Taarifa hiyo ya mfuko wa jimbo inaonyesha kuwa jumla ya shs 330,067,914 ilipolekewa na kupelekwa kwenye kata kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali lakini kiasi kilichotumika (kwa mujibu wa taarifa hiyo ni Shs 203,917,913 tu. Kiasi cha Shs 126,150,000 hakijatumika mpaka leo na kwa mujibu wa taarifa hiyo kiasi hiki bado kiko kwenye akaunti za kata!!!! Wakati kiasi hiki kikiwa hakijatumika lakini miradi iliyokusudiwa kutekelezwa na fedha hii imejumuishwa katika idadi ya miradi iliyotekelezwa katika miaka 5 ya Halima kuwa mbunge!!! Je miradi hii ilitekelezwa kwa fedha ipi? Maana fedha iliyokusudiwa mpaka leo inasemekana iko kwenye akaunti benki!!! Na kama kweli fedha hiyo iko benki (kitu ambacho sidhani ni kweli) zinafanya nini benki mpaka sasa??? Kwa nini hazijapelekwa kutatua kero za wananchi?? Kama Halima ameshindwa kusimamia utekelezaji wa Shs 330 million alizopewa kwa ajili ya mfuko wa jimbo ili zitumike kutatua kero za wananchi basi hafai kuwa mbunge wetu wananchi wa jimbo la Kawe.

Kwa mfano:

1. Mwaka 2015/16 taarifa inasema shs 3,000,000 zilizopelekwa kwenye kata kwa ajili ya kuchonga barabara ya Gold star bado haijatumika na iko kwenye akaunti ya kata (Ukursasa wa 20) !!!! Yaani kwa miaka 4 hela hiyo imekaa kwenye akaunti ya kata bila kutumika??? Je ni kweli hela hiyo bado ipo kwenye akaunti??? Na kama kweli ipo, je kwa nini haijatumika kwa ajili ya kazi iliyokusudiwa????

2. Mwaka 2016/17 kiasi cha shs 3,000,000 kwa ajili ya kujenga kivuko mbezi shule (ukurasa wa 22) bado iko kwenye akaunti na haijatumika!!!! Pia shs 5,000,000 (ukurasa wa 23) kwa ajili ya kumailizia kituo cha polisi Maputo bado iko kwenye akaunti ya kata na haijatumika!!! Yaani kwa miaka zaidi ya 3 pesa ya mradi kiasi cha shs 8,000,000 bado imekaa kwenye akaunti??? Je fedha hii kweli ipo??? Kwa nini haijatumika kwa muda wote huo???

3. Taarifa ya Halima inaonyesha Pesa ya mfuko wa jimbo kwa mwaka 2017/18 kiasi cha shs 20,000,000 (ukurasa wa 24) mpaka leo haijatumika na bado iko kwenye akaunti ya kata!!!! Mchanganuo wa pesa hii ambao mpaka leo inasemekana iko kwenye akaunti na haijatumika ni kama ifuatavyo: Shs 5 million kwa ajili ya kujenga kivuko cha waenda kwa miguu kata ya Mbezi juu; shs 10 million kwa ajili ya marekebisho ya barabara ya Mbezi mtoni na shs 5 million kwa ajili ya kujenga kivuko cha waenda kwa miguu soko la samaki Ununio. Je fedha hii kweli ipo??? Kwa nini haijatumika kwa muda wote huo???

4. Kwa mujibu wa taarifa ya Halima, mwaka 2018/19 kiasi cha shs 20 million (ukurasa wa 27) ya mfuko wa jimbo iliyopelekwa kwenye kata bado iko kwenye akaunti na haijafanya kazi iliyokusudiwa lakini kwa wakati huohuo ripoti inaonyesha kiasi kilichopo kwenye akaunti ni shs 67,550,000. Sasa sijui kipi ni kipi hapa???!!!! Je fedha ambayo haijatumika kwa mwaka 2018/19 ni shs 20,000,000 au shs 67,550,000? Ni wazi kuwa taarifa hii imepikwa tu na haina mantiki yeyote...

Mchanganuo wa fedha za mwaka 2017/18 katika ukurasa wa 27 hadi 29 unachanganya kweli kweli maana hauoani kabisa na summary katika ukurasa wa 27. Mchanganuo unaonyesha kuwa fedha iliyopelekwa akaunti ya kata ni shs 67,550,000 na haikutumika kabisa!!!! Yaani pesa yote hii mpaka leo bado iko kwenye akaunti za kata!!!! Ajabu kweli kweli...

5. Mwaka 2019/20 (ukurasa wa 30 hadi ukurasa wa 32) unaonyesha kiasi cha shs 27,600,000 zilizopelekwa kwenye kata hazijatumika mpaka leo na bado ziko kwenye akaunti ya kata!!! Mchanganuo wa pesa hii ambayo haijatumika ni kama ifuatavyo: Kujenga kivuko cha waenda kwa miguu mbezi shule (Shs 10 million); Kupanga mawe barabara ya Mbezi mtoni (Shs 15 million); kununua kompyuta ya ofisi ya kata ya Bunju (Shs 600,000); Kumwaga kifusi barabara ya Mbezi tangi bovu (Shs 2 million). Pesa yote hii kiasi cha shs 27,600,000 haijatumika tangu ipelekewe kwenye kata kama kweli ilipelekwa.

Halima amefuja shs 126 million? Kwa mujibu wa taarifa ya Halima; Fedha hii inasemekana kuwa iko kwenye akaunti za kata. Nimefatilia akaunti za kata zote za jimbo la Kawe lakini fedha hizi hazipo. Mtu aliyeshindwa kusimamia fedha yetu hafai kuwa mbunge wetu.
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Naunga mkono hoja kwa kujiuliza halima alisema serikali haimsapport je hizo fedha anazozifanya zipo bank alishindwaje kuzitumia ndo maana tunasema ni bi kidude kashachoka akapumzike
 
Wana jamvi kwanini huyu dada asishitakiwe kwa wizi, halafu miradi mingi anayosema imekamilika hata haijaanza. Fedha za mfuko wa jimbo ziko wapi? Amekula na nani aisee? Mbona Nassari yuko CCM au anapanda fensi😂😂😂😂
 
Huku kwetu akija Yani anachokifanya nikujisifia na kujifanya mbabe hana lolote hatukupi wakati huu tumechoka kukutajirisha alafu sisi tuwe masikini
 
Kwa sasa hana sera maana ahadi zake zote alizotoa 2015 hajazitimiza kabisa.
Barabara ni mbovu,vituo vya afya ni shida shule ndiyo kabisa hela za mfuko wa jimbo amekula mwenyewe zote.
 
Back
Top Bottom