PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776

Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.

Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za kisiasa zinajulikana ziko wazi na uhaini ni jambo zito kama ulivyosema. Tukianza tukirejea kauli za kisiasa za kila kiongozi kuanzia wa CCM, wa CHADEMA na vyama vingine, basi tutakuwa wahaini wote.”

Mdee amesema hana taarifa iwapo kuna ushahidi mwingine wa siri unaomhusisha Lissu zaidi ya kauli zake, lakini amesisitiza kuwa kama ni kauli tu, basi hoja ya uhaini haipaswi kusimama.

Chanzo: BBC Swahili

​
 
Mbunge wa viti maalum Halima Mdee amesema kama kauli za kisiasa zinazotolewa na viongozi zikifuatiliwa basi yawezekana viongozi wote wakawa wahaini.

Mdee amesema kauli hiyo wakati akifanya mahojiano na kituo cha BBC na kueleza kuwa yeye hajajua kama kilichofanya kukamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ni kauli alizotoa au kuna jambo lingine.

"Kama kuna mengine yamejificha mimi sijui lakini kama ni hizi kauli za kisiasa tukianza kurejea kauli za kisiasa za kila kiongozi wa CCM wa CHADEMA na hivi vyama ambavyo viko active tutakua wahaini wote kama ni kauli hizo"
Wambie tu Halima.
 
Mdee amesema kauli hiyo wakati akifanya mahojiano na kituo cha BBC na kueleza kuwa yeye hajajua kama kilichofanya kukamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ni kauli alizotoa au kuna jambo lingine.
Halima anajua kabisa kuna jambo lingine. Nadhani wamesikia.
 
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.

Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za kisiasa zinajulikana ziko wazi na uhaini ni jambo zito kama ulivyosema. Tukianza tukirejea kauli za kisiasa za kila kiongozi kuanzia wa CCM, wa CHADEMA na vyama vingine, basi tutakuwa wahaini wote.”

Mdee amesema hana taarifa iwapo kuna ushahidi mwingine wa siri unaomhusisha Lissu zaidi ya kauli zake, lakini amesisitiza kuwa kama ni kauli tu, basi hoja ya uhaini haipaswi kusimama.

Chanzo: BBC Swahili
 
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.

Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za kisiasa zinajulikana ziko wazi na uhaini ni jambo zito kama ulivyosema. Tukianza tukirejea kauli za kisiasa za kila kiongozi kuanzia wa CCM, wa CHADEMA na vyama vingine, basi tutakuwa wahaini wote.”

Mdee amesema hana taarifa iwapo kuna ushahidi mwingine wa siri unaomhusisha Lissu zaidi ya kauli zake, lakini amesisitiza kuwa kama ni kauli tu, basi hoja ya uhaini haipaswi kusimama.

Chanzo: BBC Swahili
kwani halima hujui kuwa lengo ni kuzima nguvu ya Lisu? Sio kuwa hawajui, wanajua fika na nina uhakika hata mahakama Lisu atashinda!

Uasi si lazima iwe kupindua serikali, unaweza kuasi kutofuata sheria kandamizi, na hii siyo kuwa na nia ya kupindua serikali!
 
Rudia kusoma ulichoandika
 
Mhaini gani hana kikundi cha uasi? Especially mhaini angetokea chama kinachotawala, mwanachama anaamua kwenda kinyume na matakwa ya chama chake na serikali yake anajaribu kutwaa madaraka kwa nguvu za mapinduzi ya kijeshi huku akiwa na wenzake kufanikisha mapinduzi. Wanasiasa wanaongea mambo mengi sana lakini huwezi kusema ule ni uasi na uhaini
 
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.

Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za kisiasa zinajulikana ziko wazi na uhaini ni jambo zito kama ulivyosema. Tukianza tukirejea kauli za kisiasa za kila kiongozi kuanzia wa CCM, wa CHADEMA na vyama vingine, basi tutakuwa wahaini wote.”

Mdee amesema hana taarifa iwapo kuna ushahidi mwingine wa siri unaomhusisha Lissu zaidi ya kauli zake, lakini amesisitiza kuwa kama ni kauli tu, basi hoja ya uhaini haipaswi kusimama.

Chanzo: BBC Swahili
Ccm oyeee
 
Rudia kusoma ulichoandika
Kuna kipi ambacho wewe hukuelewa hadi "arudie kusoma alichoandika". Siyo wewe unayetakiwa kurudia kusoma kilicho andikwa na kuelewa maana yake ni nini?
Ndiyo, sheria kama ni "kandamizi" watu watazikataa. Kuna lipi la ajabu hapo!

Wananchi wakizikataa hizo sheria kandamizi kwa kuwaondoa viongozi waliozisimamia waitwe "waasi"?
 
Kama umejifunga kajifungue!! Hayo maelekezo sio yako
 
Uhaini (treason) mara zote unahusu masuala ya siasa. It is disobedience, disloyalty and disallegiance to one's mother country.

Au huyu Mdee hajui definition of politics?
 
Back
Top Bottom