PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Halima anajua kabisa kuna jambo lingine. Nadhani wamesikia.
Jambo gani, wakati anashangaa, na kama lipo si longeonekana kwenye 'charge sheet' au shtika lilolo mahakamani? Huwezi kushtakiwa kwa kosa X, halafu ushahidi usihusiane na charge sheet au kosa ambalo mtu kashtakiwa nalo.
 
Back
Top Bottom