Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

Yaani Mdee yupo sahihi na ndiye anapendwa na watanzania kuliko makajanja yenu ya NGO iliyokufa. Kwa taarifa yako Mdee sasa ni maarufu kuzidi huyo mwenyekiti wenu gaidi wa hicho ki NGO chenu, na tena asubiri DPP atalifufua file afungwe
 
Hili sakata ukilifikiria sana kama kuna kitu nyuma yke bt bado hatujaweza kung'amua na Leo inasemekana wamwtinga bungen

Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama msingi wa siasa ni watu, kukaa na watu wasiofuata sheria na taratibu za vyama vyao ni sawa na kumkumbatia nyoka, atakugonga any time.

Hao CCM pamoja na kuwa retain kina Lowassa na Makambo lakini bado wanategemea rafu kwenye uchaguzi ili washinde, tofauti na Chadema, ambao licha ya kuwafukuza wasaliti wake, bado kinaendelea kuwa chama cha upinzani chenye nguvu nchini.
 
Yaani Mdee tunamuomba aje CCM tulisongeshe. Bulaya na wengine wote waje CCM. Mdee ni hazina na ni kichwa sana kuzidi mr zero
 
Yaani sijui mbowe kawapa pipi. Yaani kufuata sheria??? Mbona yeye kavunja katiba kwa kuendelea kuwa mwenyekiti, na ukiutaka anakuua
 
Halima umegamble umeLost shut the f**k...usitengeneze filim ya Senene kamla Mhaya.
Filim ndo nn.... anyway nadhan itauza sana.... ni wazo jipya ambalo halikjwahi kudhaniwa kutokea... kila kitu kinawezekana chini ya jua...
 
Yaani Mdee tunamuomba aje CCM tulisongeshe. Bulaya na wengine wote waje CCM. Mdee ni hazina na ni kichwa sana kuzidi mr zero
Makapi yote toka Chadema huwa mnayapokea, hata wale wanaoonekana mazezeta wakiwa Chadema, wakija CCM hugeuka genius.
 
Duh usaliti ulikuwa deep kiasi hiki. Halima hafai.
 
ni hulka ya binadamu baada ya kujiona amepata uwezo hudharau hadi wazazi au waliomkuza... wee mzee halima umewaponza wenzio kwa tamaa zako
 

Hilo swali labda ungeweza kulijibu wewe kwa maana kama “aliyefanyiwa ubaya“ kabusu Picha ya Magu (RIP) to show respect for the man, iweje wewe ambaye siyo muhusika uone sio sawa ? Labda huo ubaya unaousema siyo kweli na kwamba hata wewe umeaminishwa jambo la uongo kwa maana muhusika haoni hivyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…