Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kila mtu ametoka kwake hapa, hatujawahi kupata ulinzi sio tu wa usalama wa Taifa hata wa mgambo. Hakuna ulinzi wowote, sisi tulindwa na Mungu kwa hiyo ninashauri sana huyo mtu huko ajue kwamba atasubiri sana kama ataweza akanchonganisha na chama changu, atasubiri sana kama anadhani anaweza akanichonganisha na wanachama na Taifa kwa ujumla.
Ametoa sababu rudi kasikilzeHalima Mdee kama hujanunuliwa kwa nini ulikataa kwenda kuhojiwa na Kamati kuu?
Kasemaje? Mimi nafuatilia hapa kwa maandishiAmetoa sababu rudi kasikilze
Hahahaha. Demokrasia ipo ndani ya CCM ambapo Membe alipotaka kushindana na Mwenyekiti kwenye ngazi ya Urais alifukuzwa chamaSwala la demokrasia ni la mhimu zaidi kuliko kurupu kakara zenu
Yaani huyu COVID 19 na wenzake ni wa ajabu.. wamepata wapi ujasiri wakufanya PRESS alafu wamekwepa kikao muhimu cha chamaHalima Mdee kama hujanunuliwa kwa nini ulikataa kwenda kuhojiwa na Kamati kuu?
NDUGAI kalipia press na ulinzi, HAO COVID-19 hapo hakuna lolote zaidi ya kunajisi CHAMA.Y
Yaani huyu COVID 19 na wenzake ni waajabu.. wamepata wapi ujasiri wakufanya PRESS alafu wamekwepa kikao muhimu cha chama
Imekula kwako mfia chama.Wavue magwanda wave sare za kijani.
Jambo ganiiChadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Wenyewe hawakua na uwezo wala ujasiri huo, kilichopo ni kusukumwa na waliowarubuni ili wakajaribu kuonyesha kuwa wao bado ni wanachama..Y
Yaani huyu COVID 19 na wenzake ni waajabu.. wamepata wapi ujasiri wakufanya PRESS alafu wamekwepa kikao muhimu cha chama