Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

ukiwa na hela zako kusafiri ni dhambi siku hizi?
Acha unyumbu weweee! Kuna mtu kakatazwa kusafiri hapo? Yeye ana kesi mahakamani na alipokuwa safari alitakiwa kuwa mahakamani kwenye kesi yake. Kilichomfanya asiende kuomba ruhusa nini? Haya ndio mambo ya kipuuzi wanayafanya halafu wanakuja kulalamika wanaonewa! Mi naomba afutiwe dhamana yeye na mpambe wake ili watie akili!
 
Then mumeo atapandishwa cheo akununulie wigi lingine?
Watu wapuuzi ndio wanaoongoza kwa kuwatakia wengine mabaya wakidhani itapunguza shida zao.
Bladi basketiboli!
 
Back
Top Bottom