Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

Ni hivi hamna kesi hapo bali kuna matumizi mabaya ya madaraka. Hiyo kesi ya kubambikiza inafahamika nani anaagiza, na anayatumia madaraka yake kuwatesa watu wema wasiomsujudia, ndio maana unaona kesi haiishi ili kuwakomoa. Hayo ni mambo yanayofahamika sana kwenye nchi zote za kidictator.
Chadema wawe makini ili kufika mwezi 7 wawe huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa Chadema ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama.

Mdee amesema alienda Afrika kusini kupata matibabu baada ya kupewa barua na Hospitali ya Aga khan, katika safari hiyo ya kitabibu Halima alisindikizwa na Bulaya.

Chanzo: ITV habari!
Mpuuzi anatafuta Ujaji, na awafutie tu! wafungwe asherehekee! Miaka ya nyuma kidogo ndio maana kule South America majaji wengi walikula shaba!
 
Hiyo kesi ya kubambikizia imefanyikia hapa hapa Dar na ushahidi wote uko, ni kipi kinafanya hiyo kesi isiishe kama sio mahakama kutumikia siasa chafu? Acha kutoa maelezo ya kutetea uovu na matumizi mabovu ya madaraka.
So Kama ni kesi ya kubambikizwa unaruhusiwa kukiuka dhamana?
 
Hii minor, I bet inawarudisha ndani mistake mbovu sana.. Mdee ni senior lawyer na Simba pia ni senior hakimu lazima awe promoted.
 
Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa Chadema ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama.

Mdee amesema alienda Afrika kusini kupata matibabu baada ya kupewa barua na Hospitali ya Aga khan, katika safari hiyo ya kitabibu Halima alisindikizwa na Bulaya.

Chanzo: ITV habari!
Kwa raha zao,Mungu anawaona ,badala ya kusindikizwa na ndugu au wazazi anasindikizwa shoga yake
 
Hii minor, I bet inawarudisha ndani mistake mbovu sana.. Mdee ni senior lawyer na Simba pia ni senior hakimu lazima awe promoted.
Senior lawyer wakutoa matusi au kugonga mihuri,lawyer gani hata kuandika mhutasari wa kesi hajui,
 
Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa Chadema ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama.

Mdee amesema alienda Afrika kusini kupata matibabu baada ya kupewa barua na Hospitali ya Aga khan, katika safari hiyo ya kitabibu Halima alisindikizwa na Bulaya.

Chanzo: ITV habari!

If Chadema were to Run this Nation.. They will surely create a safe haven for these two leaders and the likes not to need to travel all the way to South Africa by any means even if it meant breaking the bail conditions.. GOD HELP US.
 
Hamna kesi hapo ni kupotezeana muda ili kuwakomoa. Kesi ina mwaka wa pili na lengo ni kuwafunga. Wawafunge mara moja ili mridhike,watatoka tu wataendelea na mambo yao kuliko kupotezeana muda kwa kesi za matumizi mabaya ya madaraka.
 
Back
Top Bottom