kwanza wewe huonyeshi kama ni Mtanzania..i doubt...lugha gongana cheki mwenyewe unavyoyumba yumbadunia ya tanzania imekuwa baya sana muda wa kutafuta uraia wa nchi tofauti na tz umefika
kwanza wewe huonyeshi kama ni Mtanzania..i doubt...lugha gongana cheki mwenyewe unavyoyumba yumbadunia ya tanzania imekuwa baya sana muda wa kutafuta uraia wa nchi tofauti na tz umefika
kwanini usiende kuwasaidia walau basi kuweka wanasheria wa kuwatetea...hivi mnadhan mahakama hazina watu werevu...ujinga mfanye wenyewe halaf mnakuja kutafuta huruma za wananchi..nendeni zenu bana mnatupotezea muda tuHawa wapinzani kweli wamebanwa, hawako huru kabisa,yaani ni kesi juu ya kesi, hakuna kutoa mguu nje ya nchi bila kuomba kibali cha mahakama, yaani ni kama wafungwa fulani walioko uraiani ndani ya nchi yao; this is not fair.
Hii yote ni kwasababu ya kesi iliyotengenezwa kwasababu walikwenda kudai kiapo, halafu eti huyo muhusika aliyechelewesha kutoa hicho kiapo bado yupo ofisini mpaka leo!, hivi ni nani mwenye kosa kati ya hao watu?! eti nyie mnaojiita wapenda kusema ukweli wapenzi wa Mungu? hebu acheni kuona wengine wajinga, wapeni uhuru wao hao watu, kuwa upinzani sio dhambi wala kosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeebaaa !🤣🤣🤣🤣 ! Watu walishahoji hilo, Bulaya akaruka kimanga eti ni jirani yake tuu huko mbweni, Mdee akapiga kimya wenye akili wakaelwa!Hivi hawa ni mme na mke nini?? Mbona wanafuatana sana?
Ukiwa na kesi mahakamani usifanye mchezo ! Hizo hela zako zinaweza kutokea puani!
Halima mwanasheria tena niwakili wakujitegemea ,sasa kama kunautaratibu atakua kavunja basi aswekwe ndani tena mpaka siku yahukumu kwasababu kilakitu anajuaWakishindwa kujieleza wanatupwa gerezani bwashee!
Wakishindwa kujieleza wanatupwa gerezani bwashee!
Bwashee kuruka dhamana kuna siasa?!Siasa chafu zimeingizwa mahakamani fullstop. Japo hizo ni tambo za muda tu.
Bunge karibu litaanza Kawe tutakosa mwakilishi bwashee!Mzee Mgaya hakuna la ajabu hapo. Hayo ni maisha ya kawaida sana unapokuwa mpinzani kwenye nchi za kidictator.
Nashangaa kwanini wanarudia makosa yaleyale?
Halima mwanasheria tena niwakili wakujitegemea ,sasa kama kunautaratibu atakua kavunja basi aswekwe ndani tena mpaka siku yahukumu kwasababu kilakitu anajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina mama hawa wanapendana!!Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa Chadema ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama.
Mdee amesema alienda Afrika kusini kupata matibabu baada ya kupewa barua na Hospitali ya Aga khan, katika safari hiyo ya kitabibu Halima alisindikizwa na Bulaya.
Chanzo: ITV habari!
Hivi hii kesi ina tija gani kwa Uchumi wa Taifa?Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa Chadema ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama.
Mdee amesema alienda Afrika kusini kupata matibabu baada ya kupewa barua na Hospitali ya Aga khan, katika safari hiyo ya kitabibu Halima alisindikizwa na Bulaya.
Chanzo: ITV habari!
Ili waonekane wanaonewaNashangaa kwanini wanarudia makosa yaleyale?
Bunge karibu litaanza Kawe tutakosa mwakilishi bwashee!
Mdee ni mwanasheria tulitegemea baada ya yale yaliyompata mbowe na Ester Matiko wangekuwa makini
Bwashee kuruka dhamana kuna siasa?!
Mimi sijui kesi yao inahusu nini, lakini kuna dhamana ambayo hairuhusu mtu kusafiri nje ya nchi bila kibali. Kwa mwanasheria kama halima mdee kufanya hivyo inashangaza.Waonekane wanaonewa? Waonewe mara mbili? Sio tatizo maana katika vitu vinavyomfurahusha mungu wetu wa Tanzania ni pamoja na hayo yanayowakuta hao wapinzani. Sio tatizo sana maana kutesa kwa zamu.
Ndio maana nikasema ni makusudi ya waziwaziMdee ni mwanasheria tulitegemea baada ya yale yaliyompata mbowe na Ester Matiko wangekuwa makini