Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

Kuidharau mahakama? Hivi mzee Mgaya mnatuona hamnazo sana? Mnaamini hatuna uwezo wowote wa kupima ni wakati gani mahakama inafanya kwa weledi na saa ngapi mahakama inatumika? Mnadhani hayo yanayofanyika hivi sasa ni mapya sana kwenye dunia hivi, kiasi kwamba watu hawajui lolote?
Bwashee kuna umbali gani kutoka Aga khan hospital ilipotolewa barua na Mahakama ya kisutu walipotakiwa kutoa taarifa kwa mujibu wa sheria?!!
 
Kwanini hakuitaarifu mahakama kwa mujibu wa masharti ya dhamana yake?!

Pia fuatilia vizuri, huyo hakimu Simba ndio anayetumiwa kwenye hizo kesi za kuwakomoa wapinzani, na hata majaji na jaji mkuu wanafahamu hilo, ila hawana la kufanya kutokana na udhaifu wa katiba yetu.
 
Pia fuatilia vizuri, huyo hakimu Simba ndio anayetumiwa kwenye hizo kesi za kuwakomoa wapinzani, na hata majaji na jaji mkuu wanafahamu hilo, ila hawana la kufanya kutokana na udhaifu wa katiba yetu.
Hilo halina ushahidi bwashee!
 
Bwashee kuna umbali gani kutoka Aga khan hospital ilipotolewa barua na Mahakama ya kisutu walipotakiwa kutoa taarifa kwa mujibu wa sheria?!!

Hakuna kuomba ruhusa kusafiri nje, hivyo ni vifungu vinavyotumika vibaya. Nasisitiza tena, inasikitisha mahakama kutumikia siasa chafu. Hapo hakuna kesi bali ni siasa chafu ndani ya mahakama.
 
Hilo halina ushahidi bwashee!

Hakuna ushahidi kwa mujibu wa mahakama zilizokubali kutumika kisiasa, lakini haki sio kuhubiriwa tu, bali ionekane kutendeka. Katika hili mahakama haitendi haki, bali inatumika kupindisha haki fullstop.
 
Hakuna kuomba ruhusa kusafiri nje, hivyo ni vifungu vinavyotumika vibaya. Nasisitiza tena, inasikitisha mahakama kutumikia siasa chafu. Hapo hakuna kesi bali ni siasa chafu ndani ya mahakama.
Wakati mwingine mnampa usumbufu usio wa lazima Peter Kibatala!
 
Wakati mwingine mnampa usumbufu usio wa lazima Peter Kibatala!

Sio nyie kuwageuza mahakimu vituko na kufanya wananchi wakose imani na mahakama? Kwa hiki kinachoendelea, inaonekana wazi kabisa kuwa mahakama sio sehemu ya kupata haki, bali sehemu ya kukomoa raia wema, kwa maagizo batili ya walevi wa madaraka.
 
Halima na Bulaya walipaswa kujifunza kwa Matiko!
 
Hawa wapinzani kweli wamebanwa, hawako huru kabisa,yaani ni kesi juu ya kesi, hakuna kutoa mguu nje ya nchi bila kuomba kibali cha mahakama, yaani ni kama wafungwa fulani walioko uraiani ndani ya nchi yao; this is not fair.

Hii yote ni kwasababu ya kesi iliyotengenezwa kwasababu walikwenda kudai kiapo, halafu eti huyo muhusika aliyechelewesha kutoa hicho kiapo bado yupo ofisini mpaka leo!, hivi ni nani mwenye kosa kati ya hao watu?! eti nyie mnaojiita wapenda kusema ukweli wapenzi wa Mungu? hebu acheni kuona wengine wajinga, wapeni uhuru wao hao watu, kuwa upinzani sio dhambi wala kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya kish.et.ani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom