Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mdee ni mwanasheria tulitegemea baada yale yaliyompata mbowe na Ester Matiko wangekuwa making.
Hiyo kesi ya kubambikizia imefanyikia hapa hapa Dar na ushahidi wote uko, ni kipi kinafanya hiyo kesi isiishe kama sio mahakama kutumikia siasa chafu? Acha kutoa maelezo ya kutetea uovu na matumizi mabovu ya madaraka.