Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

Hawa wapinzani kweli wamebanwa, hawako huru kabisa,yaani ni kesi juu ya kesi, hakuna kutoa mguu nje ya nchi bila kuomba kibali cha mahakama, yaani ni kama wafungwa fulani walioko uraiani ndani ya nchi yao; this is not fair.

Hii yote ni kwasababu ya kesi iliyotengenezwa kwasababu walikwenda kudai kiapo, halafu eti huyo muhusika aliyechelewesha kutoa hicho kiapo bado yupo ofisini mpaka leo!, hivi ni nani mwenye kosa kati ya hao watu?! eti nyie mnaojiita wapenda kusema ukweli wapenzi wa Mungu? hebu acheni kuona wengine wajinga, wapeni uhuru wao hao watu, kuwa upinzani sio dhambi wala kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Haya yote ni mapito tu kuna siku yatakwisha. Na hao watesaji watakuwa ktk dimbwi la aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni kuwafutia dhamana mpaka november 2020
Wameshauza majimbo yao hao
Sumu haionjwi~ Freeman Aikaeli Mbowe
 
Hawa wapinzani kweli wamebanwa, hawako huru kabisa,yaani ni kesi juu ya kesi, hakuna kutoa mguu nje ya nchi bila kuomba kibali cha mahakama, yaani ni kama wafungwa fulani walioko uraiani ndani ya nchi yao; this is not fair.
Poleni sana wapinzani.
 
Hawa wapinzani kweli wamebanwa, hawako huru kabisa,yaani ni kesi juu ya kesi, hakuna kutoa mguu nje ya nchi bila kuomba kibali cha mahakama, yaani ni kama wafungwa fulani walioko uraiani ndani ya nchi yao; this is not fair.

Hii yote ni kwasababu ya kesi iliyotengenezwa kwasababu walikwenda kudai kiapo, halafu eti huyo muhusika aliyechelewesha kutoa hicho kiapo bado yupo ofisini mpaka leo!, hivi ni nani mwenye kosa kati ya hao watu?! eti nyie mnaojiita wapenda kusema ukweli wapenzi wa Mungu? hebu acheni kuona wengine wajinga, wapeni uhuru wao hao watu, kuwa upinzani sio dhambi wala kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utafika wakati visasi vitalipwa juu ya maisha ya watendaji wanaotumika dhidi ya uonevu wa wapinzani.
Uvumilivu una mwisho, maumivu wakiyapata na wao na ndugu zao ndio watajua dhuluma ni mbaya.
Hivi hawajui kuwa kwa hali ya maisha ya sasa ilivyo ngumu MTU aweza kupewa laki tuu kumdhuru mwingine? Hawa watesaji kwa kutumia ofisi za umma hawajui kuwa wanaoteswa waweza kutumia hit team kujibu mashambulizi na visasi?
Tutaingiza nchi kwenye visasi kama vilivyo wahi tokea Kenya miaka ya nyuma
 
Tanzania mtu anapigwa nondo ya kichwa kichochoroni akidondoka, kama kazimia au kafa atajijuwa mwenyewe, ndiyo watu wanampekua na kuchukua walichomkuta nacho, pengine kushindiliwa kote nondo hawamkuti hata na nauli ya daladala. Itakuwa mtu anaekula umnyang'anye tonge mdomoni?

Hakuachi salama, nakuapia, hakuachi salama.

This is Africa.
 
Hivi hawa ni mme na mke nini?? Mbona wanafuatana sana?
Kwahiyo watu wakifuatana ni Mme na mke? Kwahiyo ukimsindikiza baba yako hospitari ni Mme wako? Kweli we ni pu mbavu.
 
Hawa wapinzani kweli wamebanwa, hawako huru kabisa,yaani ni kesi juu ya kesi, hakuna kutoa mguu nje ya nchi bila kuomba kibali cha mahakama, yaani ni kama wafungwa fulani walioko uraiani ndani ya nchi yao; this is not fair.

Hii yote ni kwasababu ya kesi iliyotengenezwa kwasababu walikwenda kudai kiapo, halafu eti huyo muhusika aliyechelewesha kutoa hicho kiapo bado yupo ofisini mpaka leo!, hivi ni nani mwenye kosa kati ya hao watu?! eti nyie mnaojiita wapenda kusema ukweli wapenzi wa Mungu? hebu acheni kuona wengine wajinga, wapeni uhuru wao hao watu, kuwa upinzani sio dhambi wala kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda mahakamani, maana swala hilo lipo mahakamani.
 
Back
Top Bottom