Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa hiyo mahakama walisubiri muda wa miaka mitatu kujua hilo?Mahakama inayohaki ya kuzichallenge katiba zozote za taasis. Pili mtu asipohisi kutendewa haki na taasisi ni mahakama ndio yenye haki ya kupitia maamuzi-unadhani taasisi hizi zisingehojika, watu wake ukandamizwaji ungekuwaje? Nasema haya bila kukwepa ubovu wa mahakama zetu. Tatu hata hukumu hii imeangalia uhalali wa wajumbe wa baraza kuu ndio maana ikahitimisha ilikuwa ni impartial.