Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Kwa hiyo mahakama walisubiri muda wa miaka mitatu kujua hilo?
 

Mchakato wa kuwafukuza inaanza upya kuanzia Baraza kuu.
 
Mahakama hii hii iliyosema suala la mgombea binafsi ni la kisiasa hivyo likapelekwe bungeni? Ni kwamba unadhani hatuna ufahamu wa ubovu huu wa mahakama zetu?
 
Kwenye ujumbe wa the state wa "operation imesitishwa the state imesema apewe muda"

"Wabunge wasio na chama waondolewe Bungeni"ni hao walioteuliwa kinyume na utaratibu wa chama!

"Mwakani yaani 2022 kuwe na mwendelezo was kuandika katiba Bunge liundwe sio lazima lihusishe wabunge wote bali wale wenye tija!


"Punguza kukopa kwasasa kwasababu deni la taifa ni kubwa,imarisha ukusanyaji mapato!

Fanya hayo na sisi tutasitisha "Mambo yetu",Tulionya hakusikia na Sasa hayupo!

The state!

Nadhani maagizo yanaendelea kukiukwa sana!!

Ngoja tuone!!
 
Saafi sana aisee...! Hii ndiyo tafasiri sahihi sasa, chama ni cha wananchi na si cha kiongozi mmoja mkuu hapo ufipani

Umesoma maamuzi ya mahakama?. CHADEMA inatakiwa kurudia mchakato wa kuwafukuza uanachama.
 
Ndugu mwenyekiti anajituliza na bapa muda huu.
 

Hivi unaweza kuwa mjumbe wa kamati kuu bila kuwa mjumbe wa halmashauri kuu?.
 
Unategemea mzee mbowe aachie nafasi ya uwenyekiti akiwa na nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…