Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Nimefuta na kurekebisha. CHADEMA Ya Mbowe
 
Jaji mwenyewe kaletewa hukumu kusoma kwenye bahasha akiwa mahakamani imeletwa na polisi, kimsingi hata Jaji anaishangaa hii hukumu
 
Hongera Mdee kwa kukomesha udikteta wa mbowe
 
Unajidanganya maswala ya haki yanakinzana na huu upupu wako ,yaani mzee mbowe anatoa hukumu kupitia KK na huyo huyo mzee Mbowe anakuwa mwenyeketi wa kutolea maamuzi rufaa ya wahanga? Kwa kweli chadema ina wajinga aisee.

..Mwenyekiti ana kura moja kati ya mamia ya kura za wajumbe wa Baraza kuu.

..Mheshimiwa Jaji amechemka ktk maamuzi yake.
 
..Mwenyekiti ana kura moja kati ya mamia ya kura za wajumbe wa Baraza kuu.

..Mheshimiwa Jaji amechemka ktk maamuzi yake.
Rudi shule Mangi ,mzee mbowe alikuwa mwenyekiti kwenye vikao vyote ,elewa neno Mwenyekiti
 
Jana tarehe 14 Desemba hukumu ya wananchama wa CHADEMA waliofukuzwa imetolewa. Tumeona dosari iliyotajwa na Mhe. Jaji kuwa uamuzi a Baraza Kuu haukuwa halali kuwafukuuza kwa sababu Wajumbe waliofanya uamuzi wa Kamati Kuu ya kuwafukuza tena walishiriki katika Baraza Kuu kuwafukuza jambo ambalo siyo sawa. Sasa ninauliza swali, Kama Baraza Kuu la CHADEMA likikaa tena na kuwaita na wakakataa wito, Je uamuzi wa kuwafukuza utakuwa halali?. Je uamuzi wa Baraza Kuu kama watawasilisha Bungeni utaheshimika?. Naomba kuwasilisha.
 
Imedhihirika wazi ninyi ni wabunge wa CCM kupitia CHADEMA na mpo bungeni kwa maslahi yenu binafsi kuliko maslahi ya watanzania.

Nyie 19 labda mhamie CCM la sivyo 2025 mtatutambua sisi wapiga kura!

Na hatuwezi kuendelea kutumia mahakama za CCM kutoa haki kwenye masuala ya uchaguzi.
 
Hata wao Wana akili timamu. Sidhani kama wataendelea kugombea wakiwa Chadema. Ila kwa CCM tunawakaribisha sana 2025! CCM haimbagui mtu ili mradi anaikiri itikadi ya chama.
 
Tusidanganyane hapa wabunge wapo bungeni kwanza kwa masilahi yao binafsi kisha ndio masilahi ya umma, si ccm si upinzani.
 
Hongera mdee kwa kukomesha udikteta wa mbowe
 
Hongera mdee kwa kukomesha udikteta wa mbowe
 
Wewe mtoto mdogo utatufanya nin Sisi ,tumeshika Kila kona mahakaman,polisi ,jeshin ,bungeni hadi ikulu
 
Chadema wanatakiwa Waitishe BARAZA KUU haraka Kama Mahakama ilivyoelekeza kisha Bunge lijulishwe tuone UJINGA upo Wapi tena

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hahaha! Unadhani ndiyo dawa? Hakuna kitu hapo. Kama miaka yote wagombea wa vyama vyote vya siasa wamekuwa wakijaza fomu za kugombea na walikuwa wakigombea, then mwaka 2020 tu ndiyo ikaonekana wagombea wa upinzani hawajui kujaza fomu isipokuwa wa CCM tu, unadhani watakosa kisingizio kingine? Halafu jambo lingine kama kuamua tu hivyo mahakama ilivyoamua kumechukua almost miaka 2 (kama sikosei), uamuzi kama huu kwa mtu anayetafuta haki unamfaa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…