Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

Chadema leo mtalala na viatu, mmeshindwa na wanawake 😂
 
Dah! Kama kuamua tu hivi kulihitaji mwaka au zaidi ni kazi kwelikweli. Mimi nilidhani labda kuna ushahidi muhimu unatakiwa na haujapatikana, kumbe wapi? Absolutely, we still have a long way to go.
 
Machadema pwaaaaa!
 
Nimefurahishwa sana na haya maamuzi ya mahakama. HAKI IMETENDEKA. Pia ni ushindi kwa Mbowe. Mahakama imemsaidia kurudisha majembe yake ndani ya chama kwasababu angetumia mamlaka yake wafia chama wasingemwelewa. Nadhani Machame leo kutakuwa na karamu.
 

..sidhani kama Jaji alitakiwa kui-challenge katiba ya Chadema.

..alichotakiwa kuangalia ni kama Wajumbe wa Baraza Kuu lililowafukuza kina Mdee ni wajumbe halali kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
 
Bongo bahati mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wawaache tu uchaguzi mkuu 2025 si mbali wajumbe wanawapiga wote kwenye kura za kuomba kuwa wagombea majimbo chini wabaki wanachama wa kawaida maana wakikata rufaa ni hadi 2025 hapo wanazidi kuwapa umaarufu tu.
 
Wanapambana kuendelea kuwa wanachama sababu ya ubunge vinginevyo wangeacha tu maana ni namna flani ya kulazimeisha kuwepo usipostahili kuwepo
 
Huyo Mbowe hamna kitu hapo boss. Ni muda sana Mbowe ameshaflop. Na kwa taarifa yako uwepo wa hao COVID huko bungeni una mkono wa Mbowe kwa namna moja au nyingine.
Kwa hili suala inapaswa ajiuzulu, inatosha sasa. Cha ajabu baraza kuu halitoitwa mpaka mwakani June kuja kujadili hukumu ya leo? Aisee huyu jamaa atupishe.
 
Hongera Halima na wenzako kuendelea kuwa wanachama wa chadema ,itoshe kusema mahakama imetenda haki,viva Halima na wenzako.
 
..sidhani kama Jaji alitakiwa kui-challenge katiba ya Chadema.

..alichotakiwa kuangalia ni kama Wajumbe wa Baraza Kuu lililowafukuza kina Mdee ni wajumbe halali kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu.
Mahakama Kuu ya Bongo ni sehemu ya ku sodomy sheria
 
Kaka Pascal Mayalla huwa anatumia neno zuri sana,kuwa uamuzi wa CHADEMA kuwafukuza uanachama wakina Halima Mdee na wenzake uliendeshwa kwa mtindo wa,"Kangaroo court"!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…