Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sina tatizo na hilo, ila hafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm kwa sasa.Mbowe bado hajaandaa mrithi wake kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina tatizo na hilo, ila hafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm kwa sasa.Mbowe bado hajaandaa mrithi wake kwa sasa.
Chadema leo mtalala na viatu, mmeshindwa na wanawake 😂Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Dah! Kama kuamua tu hivi kulihitaji mwaka au zaidi ni kazi kwelikweli. Mimi nilidhani labda kuna ushahidi muhimu unatakiwa na haujapatikana, kumbe wapi? Absolutely, we still have a long way to go.Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Machadema pwaaaaa!Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .

hapana hapa mahakama imeweka msingi mzuri wa Vyombo vinavyotoa hukumu kwa ndani ya vyama, kuwa impartial. Jambo ambalo halipo kwa miundo ya utoaji haki kwa vyama vyote vya siasa hapa kwetu. So i think ni maboresho ya utoaji haki na si uzuiaji wa adhabu kwa wanachama.
Bongo bahati mbayaHaya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Hiyo major violation ya natural justice, nemo judex en causa sua.Kwamba hiki kifungu ndio kinaonyesha mahakama zetu ni huru?
Kwa hili suala inapaswa ajiuzulu, inatosha sasa. Cha ajabu baraza kuu halitoitwa mpaka mwakani June kuja kujadili hukumu ya leo? Aisee huyu jamaa atupishe.Huyo Mbowe hamna kitu hapo boss. Ni muda sana Mbowe ameshaflop. Na kwa taarifa yako uwepo wa hao COVID huko bungeni una mkono wa Mbowe kwa namna moja au nyingine.
Hongera Halima na wenzako kuendelea kuwa wanachama wa chadema ,itoshe kusema mahakama imetenda haki,viva Halima na wenzako.Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Mahakama za Mchongo.mahakama imetenda haki
CHADEMA wakienda Mahakama rufani wanashinda. Mahakama kuu ni kama Mahama ya Mwanza Manzese tu. Afadhali hata Mahakama ya Hakimu Mkaazi kuliko Mahakama Kuu...sidhani kama Jaji alitakiwa kui-challenge katiba ya Chadema.
..alichotakiwa kuangalia ni kama Wajumbe wa Baraza Kuu lililowafukuza kina Mdee ni wajumbe halali kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
Kaka Pascal Mayalla huwa anatumia neno zuri sana,kuwa uamuzi wa CHADEMA kuwafukuza uanachama wakina Halima Mdee na wenzake uliendeshwa kwa mtindo wa,"Kangaroo court"!Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
View attachment 2842497
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
View attachment 2842542
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa kuwafukuza uanachama Wabunge 19 wakituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya Chama.
Akisoma Hukumu hiyo Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa Kamati Kuu iliyowafukuza kuwa tena wajumbe wa Baraza kuu ambalo lilisikiliza rufaa yao kinaondoa uhalali wa maamuzi ya Baraza Kuu "Baraza Kuu lilikwenda kinyume na kanuni ya kawaida ya kutokupendelea
Mahakama haramu ilimfutia mbowe makosa ya ugaidi wa kusingiziwa.Serikali haramu,Bunge haramu,Mahakama haramu na maamuzi ya kiharamu kuhalalisha haramu yao.
CHADEMA wangekausha tu,hii nchi sasa hivi ni ya Wamama, kwaiyo mnategemea wakina Halima Mdee mtawashinda kweli!Tutakata rufaa mahakama ya Rufani, kule rufaa itachukua miaka miwili mpaka 2026