Sasa haki inatolewa mahakamani ndio imeamua hivyo tayari hasira za nini si mkate rufaa
Kama ni haki ndiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni haki ndiyo
Shujaa Magufuli na Spika mstaafu Mshauri wa Askofu mkuu wa Canterbury mh Job Ndugai ni miongoni mwa Viongozi makini Taifa Hili limewahi kuwapata
Mungu wa mbinguni mbariki Mzee Ndugai
Mungu wa mbinguni mrehemu Shujaa Magufuli
Kesi za kijinga na maamuzi ya kijinga ili kumfurahisha mtawala.Acheni kumsingizia rostam mbona chadema ikishinda huwa hamuongei haya sasa mnataka mshinde tu kesi zote?
Siku zote wewe na mimi tunaomba shetani ashindweEti Erythrocyte alikuwa anaomba akina Mdee washindwe kesi😎
Wewe akili yako imeathirika na magonjwa mbalimbali.Eti Erythrocyte alikuwa anaomba akina Mdee washindwe kesi😎
Hakika.Upuuzi tu... Kwahiyo wakishindwa watarudisha pesa za umma?, Na hao waliowapisha watachukuliwa hatua gani?. CCM na viongozi wake ni wakuwaua tu.
Mdee arudi Chadema ! atapita njia gani ?Kwa hukumu hii niseme tu uchaguzi wa ndani ya chama unakwenda kuvurugwa kuanzia mwenyekiti wa chama hadi mashinani tutapandikiziwa viongozi ambao hata fomu hawatochukua na haraka haraka msajili atatangaza kuwatumbua.
Nilionya kule BAWACHA wachague mwenyekiti wamezubaa sasa mdee karejea, sasa akirudi ofisini jumatatu kudai kiti chake mtafanyeje na kipo wazi?
Mbowe kwa hili hapana umeshindwa kuwa aggressive enough, wameshajua tukiporwa hatuna cha kufanya. Ilipaswa walau mmoja atekwe abinywe mpaka ataje wenzake na waliowatuma tungesolve haya maigizo ila kuendelea kucheka cheka hivi tusishangae Mdee akawa mgombea Urais 2025 bila kuchaguliwa na chama.
This is nonsense
Huyo Jaji maana yake anaipinga Katiba ya Chadema , anaipinga kama nani ?Kwamba wajumbe wa kamati kuu waliotoa hukumu, hawapaswi kuwa sehemu ya baraza kuu linalosikiliza rufaa ya kamati kuu. PRINCIPLE OF BIASNESS.
Very logical reasoning.
Karudishiwa uanachama, atapelekwa na escort ya Polisi kama Selasini pale NCCR. Chadema tuwe serious otherwise yatatukuta ya NCCR na CUF kupachikiwa wenyeviti wasiowataka. Huyo sharifa ni kaimu tu so msajili hamtambui, kule BAVICHA hakuna katibu mkuu so nusrat atairudia post yake!! Why chadema tumekua wazembe hivi?Mdee arudi Chadema ! atapita njia gani ?
Kwenye kuonewa na ccm ni wepesi kwa sababu hawana vyombo vya dola.Chadema wamejazana wehu wanaoamua mambo kwa chuki...
Wakimvhukia mtu wanatamani sheria imchukie pia...
Wepesi sana kwenye sheria.
Hata katika hukumu yao hiyo duni hakuna mahali iliposema wanarejeshewa uongozi .Karudishiwa uanachama, atapelekwa na escort ya Polisi kama Selasini pale NCCR. Chadema tuwe serious otherwise yatatukuta ya NCCR na CUF kupachikiwa wenyeviti wasiowataka. Huyo sharifa ni kaimu tu so msajili hamtambui, kule BAVICHA hakuna katibu mkuu so nusrat atairudia post yake!! Why chadema tumekua wazembe hivi?
Cc John Mnyika
Kwani kesi zinaendeshwa ili kubalance, kwamba leo ukishinda, ni halali kesho kushindwa? Sikutegemea hukumu tofauti na hukumu hiyo ya mahakama kibogoyo.Acheni kumsingizia rostam mbona chadema ikishinda huwa hamuongei haya sasa mnataka mshinde tu kesi zote?
Chombo kipi cha dola mkuuKwenye kuonewa na ccm ni wepesi kwa sababu hawana vyombo vya dola.