Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Wanatafuta uchokozi.
 
Kweli katiba mpya pekee haitoshi!!
Sheria zipo hazifuatwi...tuanze kufundishana kuwalazimisha watawala kufuata sheria.

Sasa Bi Mkora anajipendekeza kuongea na Mbowe ili iweje wakati anaendekeza upumbavu kama huu?!


Kwa uelewa wangu heunda alimwambia kama hao wakitoka bungeni atawaleta wengine? sioni ubaya maana aliesababisha hizi vurugu ni Mwendazake so sio mbaya kuanza upya
 
Ila jamani naomba mwenye taarifa anijuze, hivi tangu hawa watu 19 waingie bungeni CDM haipokei ruzuku kupitia wao?,naamini chama chochote kinapata ruzuku kutokana na namba ya wabunge wake waliopo bungeni.
CDM waliweka wazi juzi tu kuwa huwa hawapokei ruzuku na serikali iliamin hawataweza kusurvive bila ruzuku.
 
Bado ni wabunge maana Chadema bado haijapeleka barua rasmi kwa Spika juu ya kufukuzwa kwao chamani
Barua imeshifika na imepokelewa, tunasubili reply. Ila hata hao wasaliti wanasubiri hiyo hiyo reply ambayo hatujui inaweza kuwa ya mchongo au haki. Waache walambe posho zao kwa mara ya mwisho..!
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Ni mwaka sasa huyo mwenda zake hayupo!

Ni wakati sasa hao waliopo warekebishe hayo mnayosema alitaka kuharibu.

Itafika wakati hata waume zenu wakishindwa kupandisha jogoo zao mtungi mtamsingizia mwendazake
 
Ni mwaka sasa huyo mwenda zake hayupo!

Ni wakati sasa hao waliopo warekebishe hayo mnayosema alitaka kuharibu.

Itafika wakati hata waume zenu wakishindwa kupandisha jogoo zao mtungi mtamsingizia mwendazake
yes, waambie na hao wanao bwabwaja Bungeni kila uchao wakome!! waiache awamu ya sita ifanye kazi.
 

Manake hapo nchekee tu
 
Huyo Esta Matiko atolewe nje kavaa hovyo kama alivyotolewa yule mbunge mwingine kipindi kile
 
Hayo ni mapambio chadema ni mpango wa Mungu, Kama hawatajibu mamlaka Mungu atajibu,
Kwanza wanaonesha upunguani kwamba hata katiba ya nchi hawajui ,na wapo pale hata kanuni za Bunge hawajui ,unaendaje bungeni wakati huna chama ,watapigwa na fedhea sio ya nchi hii, watu wamengangana mfunga Mbowe imeshidikana sasa wanadhani wanaweza shindana na chama chao
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
mkuu kama kalio lako limeubwa kupata tabu litapata tabu bila iwepo wa jpm.

umeokolewa na mkono wa sweta wa bwana wako.
 
mkuu hakuna mtu timamu anayefatilia kwa umakini yanayoendelea.

watu wako busy na gharama maisha yao,hayo ni maisha ya akina halima na wenzake.
 
Kuna mtu au taasisisi inawapa kiburi
Kuna invisible hand hapo,kama walivyotinga bungeni mwanzoni.
Kwa maelezo ya Mbowe walikataa kata kata kuomba msamaha.
Labda wanataka kucheza na mahakama kama Zitto alivyofanya alipofukuzwa Chadema.
Lakini wakifanya hivyo,watayumbisha chama.
 
mkuu kama kalio lako limeubwa kupata tabu litapata tabu bila iwepo wa jpm.

umeokolewa na mkono wa sweta wa bwana wako.
kaka umepanic.. tulia basi kwanza - haya mambo ni taratibu.
 
Waacheni wapige pesa tatizo sio wao tatizo ni bunge😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…