Kwa serikali hii inabidi ajichunge kuhusu neno "serikali kukopa." Linaweza kumtokea puani! Amwulize Ndugai kilimpata nini japokuwa yeye alikuwa anetetea tozo ila akafanya kosa kwa kulinganisha akasema bora tozo kuliko kukopa. Ile kuonyesha kuwa hapendi kukopa kukamkosti!Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
Humu jf Kuna watu kila siku wanaimba Mungu wabariki wazungu kisa wanahudhuria mahakamani.
Sasa mwenzao anaona wazungu siyo wa kutuletea maendeleo.
Chadema hawajielewi.
cc: ErythrocyteHumu jf Kuna watu kila siku wanaimba Mungu wabariki wazungu kisa wanahudhuria mahakamani.
Sasa mwenzao anaona wazungu siyo wa kutuletea maendeleo.
Chadema hawajielewi.
Kwa serikali hii inabidi ajichunge kuhusu neno "serikali kukopa." Linaweza kumtokea puani! Amwulize Ndugai kilimpata nini japokuwa yeye alikuwa anetetea tozo ila akafanya kosa kulinganisha kusema bora tozo kuliko kukopa. Ile kuonyesha kuwa hapendi kukopa kukamkosti!
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
Ndugai: Kama mmechagua mikopo basi futeni TOZO za miamala ya simu.Aliyekuwa spika , Bwana Ndugai; Chagueni moja kati ya Tozo ama mikopo
Rais Samia: Mimi nimechagua Mikopo,, kwani Mimi ndye wa kwanza kukopa? Waliopita hamkuwaona wakikopa?? Tena Bwana Ndugai unikome