Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
Ni haki yake kutoa maoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakopa na matozo yanazidi kuongezeka piaAliyekuwa spika , Bwana Ndugai; Chagueni moja kati ya Tozo ama mikopo
Rais Samia: Mimi nimechagua Mikopo,, kwani Mimi ndye wa kwanza kukopa? Waliopita hamkuwaona wakikopa?? Tena Bwana Ndugai unikome
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
Unajua hakuna tajiri asiye kopa, wewe ukifanya savings kuna mtu ana akili ya kukopa kuzungusha hiyo hela na kuirudisha na riba. Marekani ana mikopo ya bonds China zaidi ya dola trl 14Hivi kuna nchi isiyo kopa kweli,jambo la msingi ni kuona namna bora ya matumizi ya fedha za mikopo ni namna gani zinatumika kama zinafanikisha ujenzi wa miradi na utoaji wa huduma za kumnufaisha mwananchi kuna shida gani au ni mradi tu mbunge wa upinzani uonekane umeongea bungeni.
Halima sio mbunge wa chademaMbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
Just for your information; nchi tajiri (hasa hizo nchi za Western na sasa China )zinapenda sana nchi masikini hasa za Africa kuendelea kua masikini, zinapenda kutuona tunatembeza bakuli saa zote, zinapenda viongozi sana viongozi OMBA OMBA, hazipendi viongozi wanaotamani kuziona nchi zao siku moja zikijitegemea; umasikini wetu una FAIDA kubwa sana kwao, watajichukulia mali za huku watakavyo, ukiwakatalia, wanakukumbushia madeni yao au misaada yao. Kiongozi mzalendo yeyote Africa hawezi kudumu madarakani, ATAKUFA tu. Unamkumbua yule wa Zambia aliyefia Ufaransa? Rudisha kumbukumbu zako nyuma, baada ya kuingia madarakani alifanya nini? Linganisha na vifo vya viongozi wengi wa nchi masikini.Which is very true ..mtu mweusi akili yake anajua mzungu ndio atamtoa kwenye umasikini, hamna historia ya namna hiyo, nchi zote zimetoka kwenye umasikini kwa kuwa na mikakati mizuri ya ndani na viongozi wazalendo sio "puppets wa wazungu".
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
Kumbe timu gaidi ndiyo inayoongoza hii nchi toka uhuru na ndiyo inayoenda kutembeza bakuli uko nje?Kwa mawazo yako haya mazuri ,tegemea kushambuliwa na timu gaidi
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
Ndio zenyewe... jama hawakulipa...Trilioni 300 zilizokwama ni zipi! Isijekuwa zile za makinikia 😆😆😆
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aliyekuwa spika , Bwana Ndugai; Chagueni moja kati ya Tozo ama mikopo