passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Acha uchawa Mdee kaongea kitu cha maana.Halima usituletee bangi zako mnazokaushia kinyesi cha ngombe WEWE na Ndungai wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchawa Mdee kaongea kitu cha maana.Halima usituletee bangi zako mnazokaushia kinyesi cha ngombe WEWE na Ndungai wako
Lakini si mnasema kuwa Halima ni mbunge wa Chadema? Kama ni hivyo, si anatoa msimamo wa Chadema? Huko kutojielewa kunatoka wapi sasa?Humu jf Kuna watu kila siku wanaimba Mungu wabariki wazungu kisa wanahudhuria mahakamani.
Sasa mwenzao anaona wazungu siyo wa kutuletea maendeleo.
Chadema hawajielewi.
Hivi kuna nchi isiyo kopa kweli,jambo la msingi ni kuona namna bora ya matumizi ya fedha za mikopo ni namna gani zinatumika kama zinafanikisha ujenzi wa miradi na utoaji wa huduma za kumnufaisha mwananchi kuna shida gani au ni mradi tu mbunge wa upinzani uonekane umeongea bungeni.
Kama tulikuwa tunawaza pamojaKwa serikali hii inabidi ajichunge kuhusu neno "serikali kukopa." Linaweza kumtokea puani! Amwulize Ndugai kilimpata nini japokuwa yeye alikuwa anetetea tozo ila akafanya kosa kulinganisha kusema bora tozo kuliko kukopa. Ile kuonyesha kuwa hapendi kukopa kukamkosti!
Hata Ndugai alivyokuwa amechoka, alijifungulia mlango wa kutokea, subiri kama hajawaponza na wenzakeHalima anatafuta sababu ya kutimuliwa bungeni, hiyo meza anayotingisha ina vinywaji vya wakwe.
[emoji23][emoji23]Point sanaWenye akili hawana uwezo wa kufanya maamuzi halafu wenye uwezo wa kufanya maamuzi kwaajili ya taifa hawa akili. [emoji119][emoji119][emoji119]
T350 duh nahisi nimesikia vibayaMbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.
KabisaKukopa ni umasikini yangu UHURU tunakopa tu
Kwahiyo hii mada inahusika vipi Umeme? Jitathimini Ufahamu wako kwanzaMambo yao waachie wenyewe... endelea kufanya kazi za umeme...
Exactly mikamati ya kutengeneza hela, CEO yeyote lazima uwaambie bodi unampango gani wa kuiongezea kampuni profit tofauti na hapo wanakupiga chinaWhich is very true ..mtu mweusi akili yake anajua mzungu ndio atamtoa kwenye umasikini, hamna historia ya namna hiyo, nchi zote zimetoka kwenye umasikini kwa kuwa na mikakati mizuri ya ndani na viongozi wazalendo sio "puppets wa wazungu".
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha kuwa serikali imeshindwa kukusanya zaidi ya trillioni 300 zilizokwama kutokana kesi kushindwa kuamliwa mahakamani.
Cha ajabu badala ya serikali kujikita kuzikwamua hizo hela zilizokwama na kuongeza mapato badala yake wanakimbilia kuomba misaada na kukopa kunakopelekea kuongeza deni la taifa.