Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri inayofuata kuwa jiji la 7 Tanzania ni


  • Total voters
    118
  • Poll closed .
Hizo ni "Satellite cities".Hapo wametumia kama msamiati tu nadhani uchache wa maneno ya kiswahili,kwa lugha ya kiingereza mji wowote uwe mdogo au mkubwa unaweza kuita 'city'
Nimekuelewa hii ni bajeti ya mwaka huu nadhan wameo Bora kuanzisha majiji ya mfumo huu
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
TAMISEMI kwa kushirikiana na Wadau imekamilisha
uandaaji wa Mpango Kabambe Jumuishi (Master
Plan) wa uendelezaji wa Jiji la Kibiashara na
Uwekezaji la Kwala kwa kipindi cha Mwaka 2022 –
2050 lenye ukubwa wa hekta 130,831. Eneo hilo
limechukua sehemu za maeneo ya Halmashauri za
Wilaya za Kisarawe, Kibaha na Chalinze.
147.MheshimiwaSpika,kazi zinazoendelea
kufanyika ni ukamilishaji wa eneo la maegesho la
magari makubwa karibu na bandari kavu, utwaaji
shirikishi wa maeneo na fidia mbalimbali, ujenzi
wa barabara na vipande vya reli ili kuunganisha
vitovu vyauzalishaji na usafirishaji ndani ya eneo
la mpango.
 
Mkuu Umefanikiwa kupata supu lakini??? Kama umezimua tayari basi nakuomba uitoe Kahama kwenye ujinga huu wa kuiweka na Niombe sijui Songea au Bukoba. Itoe kabisa fungu Moja na Moshi...
Halafu itoe kabisa kwenye maono ya mwaka 2035.... Waache hao wengine... Pliz iheshimu Kahama Mkuu... Naomba itengenezee uzi wake wa projection ya 2026
 
Honestly! KAHAMA na MOROGORO zinapambana bila shaka after 15 years watakuwa wanastahili.

Ila nina wasiwasi kwa KAHAMA maana sio mkoa wala makao Makuu ya mkoa, mji ule ulistahili kuwa na hadhi ya mkoa ila ndio hivo ilitanguliwa na SHINYANGA kwhyo nina wasiwasi kama inaweza kuja kuwa Jiji kwa kigezo hicho.
 
Pitia nyaraka ya mapato ya Manispaa 10 bora ,halafu ndiyo uje useme hayo....
 
Pitia nyaraka ya mapato ya Manispaa 10 bora ,halafu ndiyo uje useme hayo....
Yeye kaangalia idadi ya watu tu kumbe Kuna vitu vingi vinaangaliwa ili jiji lijiendeshe na kwa Sasa miji ambayo itaendelea kukua zaidi ni Ile iliyojikita kwenye uwekezaji wa viwanda na biashara hizi shughuri Zinaongeza mwingiliano wa watu na ukuaji wa sector ya ujenzi na hii imepelekea baadhi ya mikoa GDP kuanza kukua Kwa kasi
 
Mtwara na Morogoro na Tabora zitafuata kuwa majiji kabla ya 2030

will follow
 
Mtwara,Morogoro na Tabora to follow suit
 
***KINONDONI
SONGEA
KIBAHA
MOROGORO
BUKOBA
KAHAMA
IRINGA
NJOMBE
MOSHI
SUMBAWANGA***


πŸ‘†
Kinondoni na Kahama haziwezi kuwa Majiji kwa sababu siyo Makao Makuu ya Mikoa.

Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji na Majiji) inasema kwamba moja ya kigezo kikuu cha eneo kuwa jiji ni eneo husika kuwa Makao Makuu ya Mkoa.

Hivyo basi, kwa njia nyingine, ili Kahama na *Kinondoni ziwe majiji, labda iundwe mikoa mingine, ambapo Manispaa tajwa zitakuwa makao makuu.
 
ukiitoa Dar Tz hakuna jiji
 
Kinondoni

Ukiuliza sababu ntakwambia Sina 😊
 
Kama sumbawanga inaweza kuwa jiji,basi hata singida inaweza kuwa jiji pia
 
Kama sumbawanga inaweza kuwa jiji,basi hata singida inaweza kuwa jiji pia

Kwa kuwa kigezo kikuu cha Makao Makuu ya Mikoa, wakitimiza vigezo vingine watakua na hadhi ya majiji.
 
Serengi-Mara kuna project wameichukua wamarekani sio mchezo inajengwa Hadi reli kutoka Apo Hadi Mwanza huu mradi ni Smart city sio wa mchezo serikali kuu imeomba kuchangia katika huo mradi soon utaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…