Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri inayofuata kuwa jiji la 7 Tanzania ni


  • Total voters
    118
  • Poll closed .
Kabla ya 2030.Morogoro itakuwa Jiji maana ndio Ina vigezo stahiki Kwa Sasa.

Kwenye list ongeza na Tabora,Moshi Bado sana
 
Hakuna Jiji la kinondoni Wala Ubungo,Wacha ujinga.
 
Kahama ni Gulio type town, sidhani kama itakuwa Jiji ikizingatiwa imepitwa Mapato na idadi ya watu na Mji wa Geita.
 
Mtoa mada unajua vigezo vya mji kupewa hadhi ya Jiji au umeandika kwa hisia tu. Hivi
Moshi
Njombe
Morogoro
Sumbawanga. Kuna wakaazi kiasi gani hata wapewe hadhi ya Jiji.
Moro Ina wakazi wa kutosha kuitwa Jiji hata Sasa.

Idadi ya watu sio kigezo pekee Cha kuwa Jiji ingawa ni kigezo Kikuu.
 
Mmmh hakuna kitu, Mbeya haitoboi hata kwa Temeke tena by far!!
Kwa hiyo ukitoka Mkoani Huwa unasema naenda Mjini Tekeme au? πŸ€ͺπŸ€ͺ

Wewe umewahi ona Bus limeandikwa Arusha-Temeke au Dar-Temeke? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Punguzeni ujinga
 
Kwa hiyo ukitoka Mkoani Huwa unasema naenda Mjini Tekeme au? πŸ€ͺπŸ€ͺ

Wewe umewahi ona Bus limeandikwa Arusha-Temeke au Dar-Temeke? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Punguzeni ujinga
Ungeweza kumfahamisha bila kumtukana na ujumbe ukafika bila makasiriko.
 
Dodoma na Tanga sio maji ni siasa za maji taka TU! Jiwe alipitusha Dodoma kibabe bila kutumia sheria! Shenzi type!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…