Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 597
Alishastaafu na akawa mkuu wa mkoa kwahiyo huyo niraia km walivyo wabunge wakuu wamajeshi waliostaafu nakuingia ktk siasaNdiye yeye. Ile sheria ya kuwataka wafanyakazi wa umma kutojihusisha na siasa ilikuwa kiini macho tu.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
inapobidi inakuwa hivyo na yeye anaamini hivyoWanaweza kumwajibisha mwenyekiti?
CCM kuna kamati hiyo au kuna kikundi cha remote ya jiwe!Sijawahi kusikia kiongozi wa Chadema aliyepungukiwa maadili akiitwa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na maadili mfano ni wale wabunge wawili waliodaiwa kutaka kumteka mstahiki Meya wa Ubungo.
Ndiposa najiuliza katika muundo wa uongozi wa Chadema hawana hii kamati muhimu kwa ajili ya kulinda heshima ya chama ndani na nje?
Ni hako kaswali tu
Maendeleo hayana vyama!
Hujajibu swali bwashee!CCM kuna kamati hiyo au kuna kikundi cha remote ya jiwe!
Sijawahi kusikia kiongozi wa Chadema aliyepungukiwa maadili akiitwa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na maadili mfano ni wale wabunge wawili waliodaiwa kutaka kumteka mstahiki Meya wa Ubungo.
Ndiposa najiuliza katika muundo wa uongozi wa Chadema hawana hii kamati muhimu kwa ajili ya kulinda heshima ya chama ndani na nje?
Ni hako kaswali tu
Maendeleo hayana vyama!
Nilijua utaelekea huko maana nimegonga penyewe!Hujajibu swali bwashee!
Umeoza KifikraInaongozwa na Esta bulaya
Wewe ni mtumwa was DJShallow analysis. hao wote ni kwa vile wako kwenye utumwa wa Jiwe na wanabembeleza kitumbua, wanaogopa kutekwa, kuuawa, kufilisiwa biashara zao, kuulizwa uraia etc, etc. Ngoja iondoke madarakani kama kuna amtu ataitwa akaenda! Think deep!
Malipo ni hpa hpa duniani🤣🤣🤣idawa,
Sasa umefika wakati wa mzee makamba kupewa ubatizo wa Moto, musiba alitumika Kama chambo tu